Kuhonga mwisho 10k

Kuhonga mwisho 10k

[emoji23][emoji23] waache tu hivyo vikao vyao, kila mmoja afanye analoona ni sahihi kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23] na wenzao wanawasaliti vizuri kuna wanaume wanahonga bwana tena wala humuombi unaona tu miamala inaingia wanaume wanaojua wajibu kwa wanawake zao
 
Kwanza wanaume watoaji hawaendagi kwenye vikao vyao, hela anatafuta yeye ni kwa nini apangiwe matumizi? eti asihonge ili iweje na hela kaitolea jasho yeye? Wanaume wanaojua kutoa wote mbinguni [emoji23][emoji23]
 
Ameen Ameen. [emoji120]
 
Jana nimempa hiyo 10k kasema haitoshi, eti anadaiwa Pedi dukani pia bundle la week na kusuka bado yaani anamambo mengi mpaka namuonea huruma
 
Kwahiyo nimepigwa 🙆......madhara ya kutohudhuria vikao haya dah..
 
Leo tumekaa kikao wanaume wote tuliowa na wasio owa tumekubaliana wote kwa kauli moja, kumuhonga mwanamke mwisho sh. Elfu kumi hili halina mjadala.

Wanawake jishughulisheni wanaume tumezinduka kutoka usingizini hatuongi tena magari, nyumba, viwanja etc. Ni mwendo wa kumi kumi tu.

Jamani si tulishakubaliana ni 7500 mimi hiki kikao sijakuwepo na sababu za msingi kupandisha hiyo 2500 bado sijapewa na nimezungumza na katibu na mwenyekiti kasema hatambui kikao hicho kwaiyo kipuuzwe
 
Jana nimeonga elf tano asbh Sana nimesalimiwa kwa heshima zote hap namlia timing niwe free azitapike buku tano yangu
 
Leo tumekaa kikao wanaume wote tuliowa na wasio owa tumekubaliana wote kwa kauli moja, kumuhonga mwanamke mwisho sh. Elfu kumi hili halina mjadala.

Wanawake jishughulisheni wanaume tumezinduka kutoka usingizini hatuongi tena magari, nyumba, viwanja etc. Ni mwendo wa kumi kumi tu.

Sasa bei elekezi ya kuonga ni buku 5 wakuu
 
Back
Top Bottom