naa
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 791
- 1,074
Wanahangaika [emoji28]Si mlikubaliana msihonge tena? Sasa hiyo 10k imetokea wapi tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanahangaika [emoji28]Si mlikubaliana msihonge tena? Sasa hiyo 10k imetokea wapi tena?
Wanaume wenyewe mnavyolia lia humu bora tujitafutie tu za kwetu, ikitokea kajitokeza wa kunipa mihela bila makelele tutaenda sawa.Nasubiri kauli yako nipo tayari kupandisha dau kwa wewe.
Unajua hata wanakamati wakiamua jambo unakubaliana nao coz ni uamuzi wa wengi. Lakini naweza kula kona kivyangu ili nifaidi matunda ya uumbaji. Lisikutishe sana hilo nipo mdau.Wanaume wenyewe mnavyolia lia humu bora tujitafutie tu za kwetu, ikitokea kajitokeza wa kunipa mihela bila makelele tutaenda sawa.