Kuhonga mwisho 10k

[emoji23][emoji23] waache tu hivyo vikao vyao, kila mmoja afanye analoona ni sahihi kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23] na wenzao wanawasaliti vizuri kuna wanaume wanahonga bwana tena wala humuombi unaona tu miamala inaingia wanaume wanaojua wajibu kwa wanawake zao
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na wenzao wanawasaliti vizuri kuna wanaume wanahonga bwana tena wala humuombi unaona tu miamala inaingia wanaume wanaojua wajibu kwa wanawake zao
Kwanza wanaume watoaji hawaendagi kwenye vikao vyao, hela anatafuta yeye ni kwa nini apangiwe matumizi? eti asihonge ili iweje na hela kaitolea jasho yeye? Wanaume wanaojua kutoa wote mbinguni [emoji23][emoji23]
 
Ameen Ameen. [emoji120]
 
Wasoviet na 10k
Uhongwi bila kupigwa tukio.
 
Jana nimempa hiyo 10k kasema haitoshi, eti anadaiwa Pedi dukani pia bundle la week na kusuka bado yaani anamambo mengi mpaka namuonea huruma
 
Kwahiyo nimepigwa 🙆......madhara ya kutohudhuria vikao haya dah..
 
Jamani si tulishakubaliana ni 7500 mimi hiki kikao sijakuwepo na sababu za msingi kupandisha hiyo 2500 bado sijapewa na nimezungumza na katibu na mwenyekiti kasema hatambui kikao hicho kwaiyo kipuuzwe
 
Jana nimeonga elf tano asbh Sana nimesalimiwa kwa heshima zote hap namlia timing niwe free azitapike buku tano yangu
 
[emoji23][emoji23] bei elekezi.
 
Sasa bei elekezi ya kuonga ni buku 5 wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…