naa JF-Expert Member Joined May 5, 2013 Posts 791 Reaction score 1,074 Jun 18, 2022 #41 Ferda said: Si mlikubaliana msihonge tena? Sasa hiyo 10k imetokea wapi tena? Click to expand... Wanahangaika [emoji28]
Ferda said: Si mlikubaliana msihonge tena? Sasa hiyo 10k imetokea wapi tena? Click to expand... Wanahangaika [emoji28]
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,564 Reaction score 34,341 Jun 19, 2022 #42 sibbonnobo said: Nasubiri kauli yako nipo tayari kupandisha dau kwa wewe. Click to expand... Wanaume wenyewe mnavyolia lia humu bora tujitafutie tu za kwetu, ikitokea kajitokeza wa kunipa mihela bila makelele tutaenda sawa.
sibbonnobo said: Nasubiri kauli yako nipo tayari kupandisha dau kwa wewe. Click to expand... Wanaume wenyewe mnavyolia lia humu bora tujitafutie tu za kwetu, ikitokea kajitokeza wa kunipa mihela bila makelele tutaenda sawa.
sibbonnobo JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 722 Reaction score 885 Jun 20, 2022 #43 Kelsea said: Wanaume wenyewe mnavyolia lia humu bora tujitafutie tu za kwetu, ikitokea kajitokeza wa kunipa mihela bila makelele tutaenda sawa. Click to expand... Unajua hata wanakamati wakiamua jambo unakubaliana nao coz ni uamuzi wa wengi. Lakini naweza kula kona kivyangu ili nifaidi matunda ya uumbaji. Lisikutishe sana hilo nipo mdau.
Kelsea said: Wanaume wenyewe mnavyolia lia humu bora tujitafutie tu za kwetu, ikitokea kajitokeza wa kunipa mihela bila makelele tutaenda sawa. Click to expand... Unajua hata wanakamati wakiamua jambo unakubaliana nao coz ni uamuzi wa wengi. Lakini naweza kula kona kivyangu ili nifaidi matunda ya uumbaji. Lisikutishe sana hilo nipo mdau.