Acha mawazo ya kijinga.
Kuhonga ni mojawapo ya majukumu ya asili ya mwanaume.
Jifunze kutoka hata kwa wanyama na ndege wa kiume mfano jogoo lazima atafte chakula, hatakula atamuitia jike ale. The same kwa simba dume na madume mengine yote.
Mwanaume unapozaliwa majukumu yako makuu ni mawili, kuzalisha na kutoa ulinzi. Kwenye kuzalisha, ili uweze kuzalisha ama kufurahia tendo la ngono ni lazima uligharamikie.
Uchi wa mwanamke ama jinsia ya kike yoyote haujawahi kutolewa ama kupatikana bure, ni lazima uingie gharama kuupata, uke ni kitu expensive lazima uingie gharama kuupata.
Tukiwa na kizazi cha wanaume wanaogopa kuhonga tutakosa kizazi kijacho.
Wanaume tuache ubinafsi, tuhonge, tuwafaidi hawa viumbe. Wanawake hawajaumbwa kuhangaika na kufanya mikazi migumu ili waweze kujilisha, wameumbwa watunzwe na waliwe.
Siwezi kuacha kuhonga hadi nakufa.