Kuhonga ni sawa na kutupa fedha ndani ya shimo refu lenye giza, utapoteza zaidi na zaidi

Simba dume hatoi hongo ya nyama, anachofanya baada ya mawindo anatangulia kula kwanza yeye ndio wanafata mabibie na watoto, haijalishi windo limekamatwa na yeye au jike.
 
Piga punyeto mpaka utakapokaa sawa ndipo uoe
Utakufa maskini.
Kuna jamaa mmoja alikuwa trafiki kwa siku anatumia sio chini ya 200k katika harakati za kupata utelezi wa mabinti weupe wa crdb . Leo hii kachanganyikiwa
Hahaha alifukuzwa kazi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…