GentleGiant
JF-Expert Member
- Sep 22, 2021
- 585
- 546
The point ya kuhubiri injili sio watu wawe waaminifu bali waokolewe kutoka dhambini.Kuna sehemu ambazo watu hawaendi misikitini wala makanisani lakini watu ni waaminifu kweli kweli. Kwa kifupi nchi zenye raia wanaofuata sana dini zimejaa maovu mengi na nchi zenye watu wasifuata dini kuna watu wema.
Ahaa. Kumbe kutokuwa mwaminifu siyo dhambi ehe? Na kuokolewa dhambini kwa jamii hakuna uhusiano wowote na matendo ya maisha yao ya kila siku? Inaonekana wewe ni kada wa CCM!The point ya kuhubiri injili sio watu wawe waaminifu bali waokolewe kutoka dhambini.
Njaa inawasumbua huwezi kumlazimisha mtu aokoke bali ni malezi tangu nyumbaniMkuu utulivu wa akili kibongo bongo ni janga.
Unakuta unahitaji uwe peke yako , anatokea mbwiga huko utaskia kijana ukoka anakuogesha na mate kabisa.
Ukuta bas la usafiri wa uma wanapiga kwaya, as if kila mtu ni wadini hiyo, bora waweke chanel ya wanyama kuutangaza utalii .Njaa inawasumbua huwezi kumlazimisha mtu aokoke bali ni malezi tangu nyumbani
Utafikiri hawajasikia watu wanaiba hela za sadaka
Binadamu tuko tofauti ila huu ni ujima kupigiana kelele au kuuziana sabuni na dawa ya kunguni kwenye mabasi
Sio uungwana ni upumbavu ila watu wanasapoti ujinga
Yesu yeye alisha jifia zake maelfu ya miaka huko , hawa ni wamatumbi wamejiongeza tu.Mpaka najikuta sasa ntamchukia na huyo yesu yaan linalazimisha kupendwa sasa kama sitaki
Wanamharibia jina kwamba mm nimetoka na familia yangu kuenjoy beach unakuja na maspika kuhubiri wakati sisi wabudha .Yesu yeye alisha jifia zake maelfu ya miaka huko , hawa ni wamatumbi wamejiongeza tu.
Yaani vurugu tu
Ukuta bas la usafiri wa uma wanapiga kwaya, as if kila mtu ni wadini hiyo, bora waweke chanel ya wanyama kuutangaza utalii .
Kutojali uhuru wa watu wengine, na kulazimisha waishi unavyotaka wewe, ni sababu ya nchi nyingi za Africa kuwa masikini.Injili ni kama sindano. Lazima ikuchome.
Tafuta hela nunua gari lako binafsi ili uepuke kwenda stendi na kupanda daladala[emoji28] otherwise acha watu wapige injili. Hakuna aliyewahi kufa wala kudhurika kwa kuhubiriwa.
Ila pia abira wenyewe wanachangia mda mwingne , kutokufunguka ,unakuta wanaogopana kusema ,ila ndani kbisa kuna wengi tu wanakerwa , ukisema wewe utasikia wengne wanatokea uvunguni wana kupa sapoti kwa kishindo.Yaani vurugu tu
Kwa kweli inatakiwa usafiri uwe kimya tu ili hata dereva asikie hata kama kuna hitilafu au king'ora cha polisi nyuma
Unakuta dereva mlevi anaamka alfajiri anaweka mziki mpaka mwisho utafikiri nyumba yake
Halafu akiuwa watu, police wanakuja na majibu dhaifu sana ooh tairi limepasuka bila uchunguzi wa kina
Watakufa sana
Hata humu wajinga wa hivyo wamo sana na utakuta wengi wao hawajawahi kutoka nje ya bongoIla pia abira wenyewe wanachangia mda mwingne , kutokufunguka ,unakuta wanaogopana kusema ,ila ndani kbisa kuna wengi tu wanakerwa , ukisema wewe utasikia wengne wanatokea uvunguni wana kupa sapoti kwa kishindo.
Taratibu tu tutabadilika ,ata tulivyo sasa tofauti na miaka 70 nyuma .Hata humu wajinga wa hivyo wamo sana na utakuta wengi wao hawajawahi kutoka nje ya bongo
Mimi nawalaumu viongozi wasiokuwa na exposure
Hata sheria wanaogopa kutunga
Wenzetu waliyaona haya zamani
Piga mziki ulaya baada ya saa 5 usiku nyumbani kwako wanabeba mpaka speakers zote
Tutabadilika tukiwa tumechoka sanaTaratibu tu tutabadilika ,ata tulivyo sasa tofauti na miaka 70 nyuma .
Ila kwa miaka ya nyuma sana kulikuwa na nidhamu sana kuliko sasaTaratibu tu tutabadilika ,ata tulivyo sasa tofauti na miaka 70 nyuma .
Acheni wiziSadaka ni hiari, walikusachi mfukoni mwako?
Acha hizo.
Huna unchokijua,unachotafuta hapa ni ligi. I am not interested at the moment.Ahaa. Kumbe kutokuwa mwaminifu siyo dhambi ehe? Na kuokolewa dhambini kwa jamii hakuna uhusiano wowote na matendo ya maisha yao ya kila siku? Inaonekana wewe ni kada wa CCM!
Kuweka bongo movie zenye ngono ndio maadili na hazina shida ila mambo ya dini kero.Tabia hii inazidi kukua kila kukicha japo inaudhi. Hawa watu wanalipwa na nani na wanatoka wapi?
Lazima ifike mahali tukubaliane kwamba kila mtu ana imani yake kulingana na alivyolelewa na kwamba swala la imani ni binafsi na kuna maeneo mahususi ya kuabudu.
Makanisa ya kilokole kina Mwamposa na wenzake wanaoibuka kila siku kama uyoga. Hawa huwapata wale waliopoteza matumaini na dini zao za asili.
Hawa huamini kwamba wafuasi wao wanapatikana popote hata kwenye mabus na stand siijawahi kumuona padre wa RC wala askofu achilia mbali shemasi akihubiri barabarani. Nadiriki kusema na kuamini kwamba hawa wanaofanya mahubiri yao barabarani na kwenye mabasi ni walewale wenye asili ya kuhani musa na mzee wa upako.
Waislamu, hawa shughuli zao huishia misikitini na kwenye makusanyiko ya warming wao. Japo na wao wanatumia vipaza sauti ambazo mara nyingi huwa ni kero kwa wasiohusika lakini hutolewa kwenye maeneo maalum tu.
Wapagani na wasio na dini, hawa ni pamoja na wqnaoamini katika miungu ya kale (waliowengi hawajitanabahishi) lakini hukereka sana na wapo wengi.
Unakuta mtu mmepanda kwenye usafiri wa umma au mkiwa stand kila mtu akielekea kwenye mambo yake tena na mawazo tofauti mtu anawasha speaker yake ya mchina na kuanza kuhubiri dini? Aliyewambia mungu yupo kwenye daladala au standi ni nani?
Ni kweli kuna uhuru wa kuabudu kwa mujibu wa sheria lakini kila uhuru unamipaka yake. Kwa kutambua hilo ndo maana serikali imetenga maeneo maalumu ya kufanyia ibada ambako warming hukutana huko na kumuomba huyo mungu.
Utaratibu wa kuhubiri kwenye mabasi ya umma na vituo vya mabasi ni utaratibu holela na unakiuka haki za watu wengine wasiopenda kusikia habari za Mungu kwa wakati huo.
Wale mnaowapa pesa watu hawa pia mngezielekeza pesa zenu kwa wahitaji moja kwa moja ili zimfikie huyo mungu na mupate baraka muwe na mafanikio zaidi hata kama wengi wenu ni wezi wa mali za umma, waongo, wazinzi, waasherati na wasengenyaji (baada ya kutoka kwenye nyumba za ibada).
Uhuru wako uishie mwisho wa pua yako, vinginevyo ni vurugu!
Nawasilisha.
Usumbufu mmoja hauhalalishi usumbufu mwingine.Kuweka bongo movie zenye ngono ndio maadili na hazina shida ila mambo ya dini kero.
Wasipohubiriwa watu ikahubiriwe miti?Tabia hii inazidi kukua kila kukicha japo inaudhi. Hawa watu wanalipwa na nani na wanatoka wapi?