Natafuta pesa
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 279
- 384
"Hao wakinyamaza basi mawe yatapiga kelele"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuunga mkonoTabia hii inazidi kukua kila kukicha japo inaudhi. Hawa watu wanalipwa na nani na wanatoka wapi?
Lazima ifike mahali tukubaliane kwamba kila mtu ana imani yake kulingana na alivyolelewa na kwamba swala la imani ni binafsi na kuna maeneo mahususi ya kuabudu.
Makanisa ya kilokole kina Mwamposa na wenzake wanaoibuka kila siku kama uyoga. Hawa huwapata wale waliopoteza matumaini na dini zao za asili.
Hawa huamini kwamba wafuasi wao wanapatikana popote hata kwenye mabus na stand siijawahi kumuona padre wa RC wala askofu achilia mbali shemasi akihubiri barabarani. Nadiriki kusema na kuamini kwamba hawa wanaofanya mahubiri yao barabarani na kwenye mabasi ni walewale wenye asili ya kuhani musa na mzee wa upako.
Waislamu, hawa shughuli zao huishia misikitini na kwenye makusanyiko ya warming wao. Japo na wao wanatumia vipaza sauti ambazo mara nyingi huwa ni kero kwa wasiohusika lakini hutolewa kwenye maeneo maalum tu.
Wapagani na wasio na dini, hawa ni pamoja na wqnaoamini katika miungu ya kale (waliowengi hawajitanabahishi) lakini hukereka sana na wapo wengi.
Unakuta mtu mmepanda kwenye usafiri wa umma au mkiwa stand kila mtu akielekea kwenye mambo yake tena na mawazo tofauti mtu anawasha speaker yake ya mchina na kuanza kuhubiri dini? Aliyewambia mungu yupo kwenye daladala au standi ni nani?
Ni kweli kuna uhuru wa kuabudu kwa mujibu wa sheria lakini kila uhuru unamipaka yake. Kwa kutambua hilo ndo maana serikali imetenga maeneo maalumu ya kufanyia ibada ambako warming hukutana huko na kumuomba huyo mungu.
Utaratibu wa kuhubiri kwenye mabasi ya umma na vituo vya mabasi ni utaratibu holela na unakiuka haki za watu wengine wasiopenda kusikia habari za Mungu kwa wakati huo.
Wale mnaowapa pesa watu hawa pia mngezielekeza pesa zenu kwa wahitaji moja kwa moja ili zimfikie huyo mungu na mupate baraka muwe na mafanikio zaidi hata kama wengi wenu ni wezi wa mali za umma, waongo, wazinzi, waasherati na wasengenyaji (baada ya kutoka kwenye nyumba za ibada).
Uhuru wako uishie mwisho wa pua yako, vinginevyo ni vurugu!
Nawasilisha.
Angalau wanaokoa hata roho moja, mfano mtu alikata matumaini au alitaka kujiua akasikia ujumbe akaponaNjaa tu, na kukosa cha kufanya. Wale watu washauriwe watafute kazi nyingine za kufanya
Pale Mbezi Luis kituo cha Daladala kwenye sehemu ya kupandia Mwendokasi kuna wahubiri pale.Upagani nao ni sifa mkuu. Sio Kila mtu anaamini kwenye hizo dini zenu. Si sahihi mtu kuanza kutoa mahubiri kwenye sehemu za umma bila ridhaa yao. Kama ww unaamini katika dini yako, andaaa sehemu maalumu, wanaoamini unachoamini watakuja kujiunga na ww, na sio kwenye basi unatemea watu mate na dini yako ya mchongo.
Nimecheka kwa nguvu mkuu. Watu wanamchangia huyo muhubiri maana wanaamini wanamchangia Mungu, na lengo lao hasa ni kama wanamtega Mungu ili awaongezee zaidi kwa wanachotoa. Ni tatizo la kisaikolojia zaidi kutokana na frustrations za maisha magumu.Pale Mbezi Luis kituo cha Daladala kwenye sehemu ya kupandia Mwendokasi kuna wahubiri pale.
Siku moja asububi nilikuwa nimepanga zangu mstari tunasubiri gari, yeye kwenye uchochoro wa hiyo foleni kaweka spika na bakuli kuchangisha, then anaendelea kupiga nyimbo za choir anachangana na mahubiri kwa kupokezana na nyimbo. Ile kelele ilikuwa inanikera sana.
Sasa akawa anawekea watu Mic mdomoni ili waseme/wajibu anayowauliza kuhusu mahubiri. Bahati nzuri/mbaya akaja kuniwekea na mimi, aisee niliuupush mkono wake kwa kuutoa karibu na mimi huku nikimfokea akaanza kujifanya kama ananisema na mahubiri yake.
Kwa kweli alinikera sana, baada ya hilo tukio nikawa nawaza "labda ningeikubali MIC halafu niongee kuwa Acha kutupigia kelele, katafute riziki kwa njia nyingine ya halali, hivi una kibali cha NEMC na unajua kuwa unafanya Noise Pollution?
Kinachonishangaza zaidi, watu nao wanaendelea kumuunga mkono kwa kutoa hela na kuweka kwenye bakuli lake, hapo hapo kuna omba omba mwingine ambaye ni kilema kakaaa pembeni na wanaotoa wanampa huyu mhubiri ambaye ni mzima na mwenye siha njema kuliko yule Kilema.
Binafsi naona tatizo sio hawa wanaohubiri bali tatizo ni hadhira kukubali kuhubiriwa, kwenye jamii zinazojielewa sidhani kama kuna maupuuzi kama haya
Kwani mmekatazwa mkuu au unajiongelea tu?Na sisi wabudha .islamu.waabudu mizimu tufanye hivo
Hahaaaaa, Daudi Mashimo huyo. Kimsingi alikosea na hakuwa na heshima wala kujua jini anatakiwa afanye. Wengi tuhubiripo, hatudai wala kuomba sadaka pia hatutajagi mtu wala dini ya mtu. Hatuwapi watu MIC waongee. Kimsingi, kuhubiri kunatakiwa uwe na hekima ya kimwili na kiroho ili usikwaze watu. Wewe sema ujumbe wa Mungu then unaodoka. Yeye ndio atalithibitisha Neno Lake. Nina mwaka wa 10 sasa nahubiri kwenye mikutano na makusanyiko ya watu. Sijawahi tukanwa wala fanyiwa vurugu.Pale Mbezi Luis kituo cha Daladala kwenye sehemu ya kupandia Mwendokasi kuna wahubiri pale.
Siku moja asububi nilikuwa nimepanga zangu mstari tunasubiri gari, yeye kwenye uchochoro wa hiyo foleni kaweka spika na bakuli kuchangisha, then anaendelea kupiga nyimbo za choir anachangana na mahubiri kwa kupokezana na nyimbo. Ile kelele ilikuwa inanikera sana.
Sasa akawa anawekea watu Mic mdomoni ili waseme/wajibu anayowauliza kuhusu mahubiri. Bahati nzuri/mbaya akaja kuniwekea na mimi, aisee niliuupush mkono wake kwa kuutoa karibu na mimi huku nikimfokea akaanza kujifanya kama ananisema na mahubiri yake.
Kwa kweli alinikera sana, baada ya hilo tukio nikawa nawaza "labda ningeikubali MIC halafu niongee kuwa Acha kutupigia kelele, katafute riziki kwa njia nyingine ya halali, hivi una kibali cha NEMC na unajua kuwa unafanya Noise Pollution?
Kinachonishangaza zaidi, watu nao wanaendelea kumuunga mkono kwa kutoa hela na kuweka kwenye bakuli lake, hapo hapo kuna omba omba mwingine ambaye ni kilema kakaaa pembeni na wanaotoa wanampa huyu mhubiri ambaye ni mzima na mwenye siha njema kuliko yule Kilema.
Binafsi naona tatizo sio hawa wanaohubiri bali tatizo ni hadhira kukubali kuhubiriwa, kwenye jamii zinazojielewa sidhani kama kuna maupuuzi kama haya
Hahaaaaa bro, nimejifunza sana kuishi kwa kulingana na mazingira. Mtu akija kistaarabu tunaenda kistaarabu akija kijeuri tunaenda kijeuri mkuu. Pole sikuwa na nia ya kumkwaza mtu.Ila huko juu ulikua unajibu kwa kukurupuka na mihemko na mitusi kedekede ila sio case👍
Unaishi kulingna na mazingira wewe umekuwa mnyama wa porini ?Hahaaaaa bro, nimejifunza sana kuishi kwa kulingana na mazingira. Mtu akija kistaarabu tunaenda kistaarabu akija kijeuri tunaenda kijeuri mkuu. Pole sikuwa na nia ya kumkwaza mtu.
Mkuu utulivu wa akili kibongo bongo ni janga.Aina yoyote ya public transport inatakiwa iwe kwa ajili ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B
Huwezi kukuta Dunia iliyoendelea mambo haya na wanatuzidi sana kwa ustaarabu kwa mambo mengi sana yaani nchi njaa na zinazojiona zinafuata dini ndio wanaongoza kwa kelele, wizi, ujinga na hata umasikini wa mali na akili
Unapiga mziki humo kuna wagonjwa, unahubiri kuna wengine wana Imani tofauti na kuona ni bughudha na uongo sasa unahangaika nini
Wenzetu hata kupiga simu kwa sauti huruhusiwi mwendo kimya kimya mpaka unalala
Acheni ushamba sio uungwana yaani kila kizuri hamtaki
Tena uje kwa adabu na heshima pia uombe nafasi kma mtu anahitaji atakukaribisha , uo ndio ustaarabu na busara.Hahaaaaa, Daudi Mashimo huyo. Kimsingi alikosea na hakuwa na heshima wala kujua jini anatakiwa afanye. Wengi tuhubiripo, hatudai wala kuomba sadaka pia hatutajagi mtu wala dini ya mtu. Hatuwapi watu MIC waongee. Kimsingi, kuhubiri kunatakiwa uwe na hekima ya kimwili na kiroho ili usikwaze watu. Wewe sema ujumbe wa Mungu then unaodoka. Yeye ndio atalithibitisha Neno Lake. Nina mwaka wa 10 sasa nahubiri kwenye mikutano na makusanyiko ya watu. Sijawahi tukanwa wala fanyiwa vurugu.
Si itakuwa vurugu kwenye jamii .watu wafanye kazi Kisha ombeni vibali tangazeni Matangazo sio watu tumeona tukachangie taifa kwenye baa mtaani unakuja na lispika lako nje ya baa unaanza kusimulia watu wataenda motoni mara uzinzi dhambi .sio vibaya ila sio mahala pake .basi na sisi tutakuja nje ya sehemu ya maombi tunaweka bonge la spika na miziki ya diamond sidhan hata Mungu anapenda jamii isiyo na utaratibu .mtu nina pressure na mawazo yangu nimetoka kufiwa na mzazi naingia kwenye gari toka dar kwenda moro na nimechoka mbaya zaidi kuna watoto wa miaka 1 hadi 3 hao pia wameamshwa mapema wanausingizi .kupanda gari anaingia mtu na lispika anaanza kuhubiri hakuna anaechukia injili ila wahubirie wanaotaka na mkutane kiustaarabu sisi tusiotaka (hiali) mtuache tusafiri kwa kupumzika tulale na watoto wapumzikeKwani mmekatazwa mkuu au unajiongelea tu?
Hatutak kumuacha mtu kwny safar ya mbinguni; kwnyTabia hii inazidi kukua kila kukicha japo inaudhi. Hawa watu wanalipwa na nani na wanatoka wapi?
Lazima ifike mahali tukubaliane kwamba kila mtu ana imani yake kulingana na alivyolelewa na kwamba swala la imani ni binafsi na kuna maeneo mahususi ya kuabudu.
Makanisa ya kilokole kina Mwamposa na wenzake wanaoibuka kila siku kama uyoga. Hawa huwapata wale waliopoteza matumaini na dini zao za asili.
Hawa huamini kwamba wafuasi wao wanapatikana popote hata kwenye mabus na stand siijawahi kumuona padre wa RC wala askofu achilia mbali shemasi akihubiri barabarani. Nadiriki kusema na kuamini kwamba hawa wanaofanya mahubiri yao barabarani na kwenye mabasi ni walewale wenye asili ya kuhani musa na mzee wa upako.
Waislamu, hawa shughuli zao huishia misikitini na kwenye makusanyiko ya warming wao. Japo na wao wanatumia vipaza sauti ambazo mara nyingi huwa ni kero kwa wasiohusika lakini hutolewa kwenye maeneo maalum tu.
Wapagani na wasio na dini, hawa ni pamoja na wqnaoamini katika miungu ya kale (waliowengi hawajitanabahishi) lakini hukereka sana na wapo wengi.
Unakuta mtu mmepanda kwenye usafiri wa umma au mkiwa stand kila mtu akielekea kwenye mambo yake tena na mawazo tofauti mtu anawasha speaker yake ya mchina na kuanza kuhubiri dini? Aliyewambia mungu yupo kwenye daladala au standi ni nani?
Ni kweli kuna uhuru wa kuabudu kwa mujibu wa sheria lakini kila uhuru unamipaka yake. Kwa kutambua hilo ndo maana serikali imetenga maeneo maalumu ya kufanyia ibada ambako warming hukutana huko na kumuomba huyo mungu.
Utaratibu wa kuhubiri kwenye mabasi ya umma na vituo vya mabasi ni utaratibu holela na unakiuka haki za watu wengine wasiopenda kusikia habari za Mungu kwa wakati huo.
Wale mnaowapa pesa watu hawa pia mngezielekeza pesa zenu kwa wahitaji moja kwa moja ili zimfikie huyo mungu na mupate baraka muwe na mafanikio zaidi hata kama wengi wenu ni wezi wa mali za umma, waongo, wazinzi, waasherati na wasengenyaji (baada ya kutoka kwenye nyumba za ibada).
Uhuru wako uishie mwisho wa pua yako, vinginevyo ni vurugu!
Nawasilisha.
Pole sana ndugu.Tabia hii inazidi kukua kila kukicha japo inaudhi. Hawa watu wanalipwa na nani na wanatoka wapi?

Sadaka ni hiari, walikusachi mfukoni mwako?Uko sawa.Na je zile sadaka mnazolazimisha watu wawape ili wabarikiwe ni utaratibu upi wa kibiblia unawaamuru kufanya hivyo?
Lina faida kwako msituletee umalaya wenu wa imani hapaMpagani Wewe,, Mbona Hilo zuriii tuu Tena Lina faida..
Mpaka najikuta sasa ntamchukia na huyo yesu yaan linalazimisha kupendwa sasa kama sitakiPole sana ndugu.
Pia nikwambie bado hujatembea.
1. Waislam wanafanya hizo huduma kwenye magari hasa daladala na mikutano ya hadhara barabarani pia.
2. Wakristo wanafanya huduma sehemu mbalimbali pia kwenye mabasi, barabarani hata viwanjani.
3. Wapagani nyie kama ulivyojinasibu mwenyewe mnatutangazia uchawi wenu kwa mabango barabarani,wakati mwingine kwenye mitaa,kwenye sms zetu, redioni nk
Kwahiyo hapo unaona wazi kabisa kila mtu anafanya kwa uhuru wake. Jambo halikuhusu kwa muda huo tuliza komwe waache wanaotumia watumie.
Mungu yupo kila mahali na atahubiriwa kila mahali iwe baa,stendi ama sokoni.
Pia umewatuhumu Watumishi wa Mungu kuwa ni wenye dhambi nikusaidie kujua kuwa Yesu hakuja kuwatafuta wakamilifu, alikuja kwaajili ya hao wadhambi.
Badilika mtafute Mungu.
YESU ANAKUPENDA.