macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ingekuwa ni virugu kubwa. Ndiyo maana kukawa na nyumba za ibada.Hata mwenyew sijui ingekuaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa ni virugu kubwa. Ndiyo maana kukawa na nyumba za ibada.Hata mwenyew sijui ingekuaje
Mnyaki kwa ubini wako.. na ndio mnaongoza kwa kusumbua kwenye stendi na mabus.Mpagani Wewe,, Mbona Hilo zuriii tuu Tena Lina faida..
Kipimo cha dhambi unacho wewe?Nawe machangu wanakamatwa wapi? Wacha zako wewe. Wacha watu wahubirie wenye dhambi pia jitahidini nyie vijana kuchukuliana na watu. Acheni ujuaji.
I hear youIngekuwa ni virugu kubwa. Ndiyo maana kukawa na nyumba za ibada.
Mzee huwezi kutuzuia kuhubiri. Unajifurahisha tu humu JF wewe "keyword warrior". Watu kuhubiri wameanza toka Enzi za akina Musa. Hao walikuwa wanahubiri hadi mitume.na manabii wengine. Hakuna mtu chini ya Jua kwa namna yoyote ile atakaye zuia Injili. Tutawahubiria hadi muache ukahaba na ulevi dogo.😀😃😄😁😆😅Kipimo cha dhambi unacho wewe?
Kazi ya makanisa na misikiti ni nini sasa?
Si waende wakahubirie huko.
Sikia beba spika lako nenda kwenye nyumba yako ya ibada wahubirie wanakondoo wako na dhambi zao mpaka waombe poo.
Nenda kahubir AfghanistanUpuuzi..... Neno litahubiriwa popote,kuamini ni maamuzi yako. Katika kundi la watu 100 akiamkni hata mmoja tu ni ushindi mbinguni. Ukiona unakereka kusikia neno la Mungu basi ujue shetani kakukamata.
Mzee mbona kila sehemu duniani watu wanahubiri mitaani. Nina jamaa zangu kihuduma wapo USA wanahubiri mitaani tu na trna wanalindwa na polisi mkuu. Kwahiyo kwako wewe utimamu wa akili ni wanaume kwa wanaume kuoana au wanawake kwa wanawake au wanawake kulala na wanyama? Pumbavu mkubwa wewe.Tatzo la akili Tanzania na Africa kwa ujumla ni kubwa sana chanzo ni umaskini wa kifikra na kimaisha.
Huko si ndio kila siku watu wanaokoka? Sio mpaka yeye au mimi niende. Wapo wanaofanya kazi ya Bwana hata huko tena kwa uaminifu mkubwa. Ni kazi sana kuizuia injili ya Bwana Yesu kuhubiriwa.Nenda kahubir Afghanistan
Unapajua au unaongea tu kwa kusikia?Huko si ndio kila siku watu wanaokoka? Sio mpaka yeye au mimi niende. Wapo wanaofanya kazi ya Bwana hata huko tena kwa uaminifu mkubwa. Ni kazi sana kuizuia injili ya Bwana Yesu kuhubiriwa.
Afya ya akili kwako pia ni tatzo🚮Mzee mbona kila sehemu duniani watu wanahubiri mitaani. Nina jamaa zangu kihuduma wapo USA wanahubiri mitaani tu na trna wanalindwa na polisi mkuu. Kwahiyo kwako wewe utimamu wa akili ni wanaume kwa wanaume kuoana au wanawake kwa wanawake au wanawake kulala na wanyama? Pumbavu mkubwa wewe.
Kwani kuna nini? Yaani Injili izuiliwe na waarabu na waislamu siasa Kali wakati hata muanzilishi wa uislamu mwenyewe kaikuta na kaiacha. Injili itaendelea hadi ukamilifu wa dahari. Toka enzi za akina Paulo hadi sasa kila siku Mungu anaokoa na ataendelea kuokoa hadi siku ile ya kukusanyika njia panda.Unapajua au unaongea tu kwa kusikia?
Kweli kabisa na wasio amini Mungu , waislamu na madhehebu yao na wakristo na madhehebu yao na wale wa mila kila mtu apite ahubiri [emoji848][emoji848]Hivi dini zote zingekuwa zinahubiri stendi ingekuwaje?
Hahaaa, nimekuuliza wenye afya nzuri ya akili ni nyie mnaoingiliana na kuoana kati ya jinsia moja?Afya ya akili kwako pia ni tatzo🚮
Tuhubiri stendi ??Wacha tuhubiri watu wamjue Mungu. Usidanganyike bro, amani ya nchi hii haitokani na kuwa na jeshi zuri juridical mataifa mengine yenye vita ila ni kutokana na hofu ya Mungu ambayo watu wanayo. Na hofu hii huja pale tunapowahubiria na kuwaombea Watanzania. Tuache tuhubiri kama ambavyo kuna Bongo flavor na Sinema kwenye mabasi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aya bhana ila uache matusi kwa watu usio wajua.Kwani kuna nini? Yaani Injili izuiliwe na waarabu na waislamu siasa Kali wakati hata muanzilishi wa uislamu mwenyewe kaikuta na kaiacha. Injili itaendelea hadi ukamilifu wa dahari. Toka enzi za akina Paulo hadi sasa kila siku Mungu anaokoa na ataendelea kuokoa hadi siku ile ya kukusanyika njia panda.
Bro, usidanganyike na huu ulimwengu na kuona umefika. Mungu ni kweli kabisa na wala hatuna mashaka naye. Kuzimu ipo na ni halisi kabisa. Siku ya hukumu ipo na inakusubiri ila bado nafasi unayo. Kuwa na uhai hadi sasa sio kwamba wewe ni mzuri sana au una elimu sana. Ila Mungu anakupa nafasi ya kurekebisha. Yeye ni Pendo na anakupenda sana. Badilika sasa na umpokee Yesu Kristo awe bwana na mwokozi wa Maisha yako. Tubu na Okoka sasa kwa maana wakati uliokubaliwa ni sasa na saa ya wakovu ni leo.
Bro, kesho yako ni fumbo ila umilele wako umekaribia na umilele wako unaandaliwa sasa. Karibu kwa Yesu ewe mwana wa Mungu na rafiki yetu min -me .
Unapenda hizo story sana eeeeHahaaa, nimekuuliza wenye afya nzuri ya akili ni nyie mnaoingiliana na kuoana kati ya jinsia moja?
Sio stend tu kila mahali penye kusanyiko Mpendwa. Kuhubiri Stend, masokoni, viwanjani na kwenye makusanyiko kulikuwako toka enzi na Enzi. Akina Paulo nao walihubiri maeneo kama hayo yenye makusanyiko. Eti mnajifanya mmeelimika hamtaki kuhubiriwa stend wakati huo kuna mizki, bar, guest houses na madanguro hapo hapo stendi.Tuhubiri stendi ??