Kuhubiri ndani ya vyombo vya usafiri si ustaarabu

Kuhubiri ndani ya vyombo vya usafiri si ustaarabu

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Wakuu

Niende straight to the point.

Hii aabia ya baadhi ya viongozi wa dini kupendelea kuhubiri tena kwa sauti Kali kwenye vyombo vya usafiri vya umma naona kama haijakaa sawa.

Kila kitu kufanyika mahali pake ndio USTAARABU.
 
Wao wanapiga makelele kila mahali, ila dada zetu wakijipatia kijiuchochoro wakapanga foleni pale wanaanza kuwasema eti wanavunja sheria!
 
Wao wanapiga makelele kila mahali, ila dada zetu wakijipatia kijiuchochoro wakapanga foleni pale wanaanza kuwasema eti wanavunja sheria!
Wakat wote hao wapo kwenye utafutaji
 
Hili ni suala nyeti sana.
Lakini kutokana na wengi kufikiria kwa kutumia hisia basi watalipinga na kusema si vibaya.
Sioni umuhimu wa kuwa na nyumba za ibada kama viongozi wa dini wanaweza kuja kwenye vyombo vya usafiri na kutamka maneno ya mungu.
Si kila mahala mungu anatakiwa atajwe kuna sehemu zengine ni vibaya sana.
Hili linafaa likatazwe.
 
Sasa kama hawaendi kwenye mikutano ya injili utawapata wapi? Huko huko waliko wapigwe injili ya kutosha ili kila atakayeamini aokoke aache dhambi
 
Sasa kama wahaendi kwenye mikutano ya injili utawapata wapi? Huko huko waliko wapigwe injili ya kutosha ili kila atakayeamini aokoke aache dhambi

Sasa mkuu kwenye usafir au barabarani watu wako dini tofauti tofauti huoni sio sawa
 
Hawa watu kwa ukubwa wao wanajulikana, usizunguke zunguke mkuu, Wanatumia mwemvuli wa Dawa na Tende...

Oya mi sijataja mtu.

Yaani haina haja ya kutaja mnajijua kua ndio mambo yenu hayo na vi speaker vyenu kwenye vituo vya daladala au masokoni na suti zimechoka kwa vumbi jua kali jasho mwili mzima
 
Wale wa stendi na masokoni ndo balaaa, Kuna yule wa pale mnazi Moja, asubuhi unamkuta pale baridi jioni mnazi Moja hata sielew hua anahubir nn 🤔🤔🤔Kila baada ya dakika mbili utaskia asubuhi nlikuwa mbezi tukaenda mwenge baadae kariakoo saizi tupo hapa wezesha injili tuna uhitaji wa 25000 hapa tuna 18200
 
Back
Top Bottom