Lamentations
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 285
- 848
Pole sana kwa makwazo waliokuletea mkuu ila usijari itafik tu wakati hao watu wala hayo makelele yao hautoyaona tenaaaaaaaaaaaaaaaaa.. japo utayatafuta pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ajira ni ngumu wapendwa, na hali ya maisha ni tyty sana lakini pia kanisani hamji wapendwa na mkija hamtoi sadaka ya kutosha tumeonelea tuwafuate huko huko mlipo mtuvumilie tu....Wakuu
Niende straight to the point.
Hii aabia ya baadhi ya viongozi wa dini kupendelea kuhubiri tena kwa sauti Kali kwenye vyombo vya usafiri vya umma naona kama haijakaa sawa.
Kila kitu kufanyika mahali pake ndio USTAARABU.
Hata mimi inanikera wanatafuta fursa ya kupata sadaka ,(hela) wanalazimishaWakuu