Kuhubiri ndani ya vyombo vya usafiri si ustaarabu

Kuhubiri ndani ya vyombo vya usafiri si ustaarabu

Pole sana kwa makwazo waliokuletea mkuu ila usijari itafik tu wakati hao watu wala hayo makelele yao hautoyaona tenaaaaaaaaaaaaaaaaa.. japo utayatafuta pia
 
Wakuu

Niende straight to the point.

Hii aabia ya baadhi ya viongozi wa dini kupendelea kuhubiri tena kwa sauti Kali kwenye vyombo vya usafiri vya umma naona kama haijakaa sawa.

Kila kitu kufanyika mahali pake ndio USTAARABU.
ajira ni ngumu wapendwa, na hali ya maisha ni tyty sana lakini pia kanisani hamji wapendwa na mkija hamtoi sadaka ya kutosha tumeonelea tuwafuate huko huko mlipo mtuvumilie tu....
 
Wakuu

Niende straight to the point.

Hii aabia ya baadhi ya viongozi wa dini kupendelea kuhubiri tena kwa sauti Kali kwenye vyombo vya usafiri vya umma naona kama haijakaa sawa.

Kila kitu kufanyika mahali pake ndio USTAARABU.
Hata mimi inanikera wanatafuta fursa ya kupata sadaka ,(hela) wanalazimisha
 
Sio tu kwenye usafiri

Unakuta upo zako dukani wanakuja masheikh wanakuita nje.

Unatoka unajua ni jambo la dharura unakuta wanakunjua kiti wanaanza kukuringania.

Ukiwaambia sawa niko tayari ila kitu cha kwanza nithibitishieni huyo Allah yupo wanaanza kutoa macho.
 
Back
Top Bottom