nyabhingi acha uduanzi wewe.. joyce mhavile hana sababu za kulalamika kwani wanavyo ving'amuzi vyao vya digitek. wanachopaswa kufanya ni kuwashauri watumiaji watumie ving'amuzi vyao tu na sio kupiga mayowe
Mimi tangu nitupe hicho ki startimes naiona itv vyema sana kupitia azam na dstv,jirani yangu nilimshtua kuhusu hujuma hiyo inayofanywa na startimes dhidi ya itv na yeye akakitupilia mbali hicho ki taka taka,amehamia azam pia,na ana enjoy habari za uhakika na zisizo na ushabiki kutoka ITV,hawa wachina wanawadanganya viongozi wetu kuvigandamiza vyombo huru vya habari,ila wanasahau kuwa watu wanajua suluhisho la huduma mbovu ni kuhamia kwingine,mwisho wa siku strtimes na li Tbc lao watakosa watazamaji hata 10,000 nchi nzima,ccm wameamua kuhujumu kila wanachokihofia kufichua maovu yao,ukiona hivyo jua jambo moja tu------ihayaland wacha speculations, hamia azam au continental na usizushe kuwa wanahujumiwa. hawawezi kuhujumiwa kwani hawana chochote cha kuwahujumu.
Huu n uchonganishi na umbea mambo ya kieletronics unasema kuhujumiwa , kwani wao Itv wametoa taarfa ya kuhujumiwa au ndio unataka kuichonganisha serikali na vyombo vya habari
team Prof.Muhongo kaziniKwani dalali anafanya biashara hii ya habari bila kuwa na king'amuzi cha IPPMEDIA? Jamaa anapenda kweli vitu rahisi
kama hujaelewa mada uwe unauliza usaidiwe siyo unakimbilia kucomment uchafu kama huu.ITV yenyewe inamilikiwa na dalali Reginald Mengi. Yawezekana kwamba anadaiwa
Umemsikia mtu/taasisi yoyote inayolalamika kuwa inaidai ITV?je startimes hata kama wanaidai itv,je kuihujumu ndiyo kujilipa deni?siyo tu kwamba watakuwa wanafukuza wateja wao?na hujui kuwa ITV ndiyo kituo kinachotazamwa na watanzania wengi kuliko kituo kingine chochote? Sijawahi kusikia mtu asiye na akili kama huyu lizaboni.ITV yenyewe inamilikiwa na dalali Reginald Mengi. Yawezekana kwamba anadaiwa
Very poor analysis.ITV yenyewe inamilikiwa na dalali Reginald Mengi. Yawezekana kwamba anadaiwa
mimi nashangaa,siku kama ya tatu hivi nime-notice hicho kitu kila inapofika saa mbili usiku!utawala unaokaribia kufa huwaga unatapatapa namna hii lakini kifo xhake hakiepukiki.Haya ni maagizo kutoka juu kufanya hujuma...maccm ni makatili mpaka basi.
mtu mwenyewe huna hata TV vitu vingine bora ungeuliza usaidie kuliko kukurupuka na kuandika uchafu hapa wewe ulifikiri hayo malalamiko yametolewa na TBC CCM.Huu n uchonganishi na umbea mambo ya kieletronics unasema kuhujumiwa , kwani wao Itv wametoa taarfa ya kuhujumiwa au ndio unataka kuichonganisha serikali na vyombo vya habari
mbona kama unatetea uhhalifu!kwa hiyo kwa vile wana king'amuzi chao ndo wahujumiwe!??hivi hujui kuwa star times kuna kodi zetu?
Huu n uchonganishi na umbea mambo ya kieletronics unasema kuhujumiwa , kwani wao Itv wametoa taarfa ya kuhujumiwa au ndio unataka kuichonganisha serikali na vyombo vya habari
Kama huna mwanga wa marketing ni sawa na usiku wa giza, alichokifanya Mhavile ni marketing tosha binafsi najishauri kama nitakilipia tena mwezi ujao.nyabhingi acha uduanzi wewe.. joyce mhavile hana sababu za kulalamika kwani wanavyo ving'amuzi vyao vya digitek. wanachopaswa kufanya ni kuwashauri watumiaji watumie ving'amuzi vyao tu na sio kupiga mayowe
Kwa sasa ITV wana maadui wengi kwa sasa jipange tu mtashinda vita hivi vya hawa wahuni kwa jina la yesu