Kuhujumiwa kwa ITV katika king'amuzi cha STAR TIMES Dar

Kuhujumiwa kwa ITV katika king'amuzi cha STAR TIMES Dar

kwanini ITV ihujumiwe kupitia king'amuzi cha Star Times tu?? Kwanini hujuma hizi zisingefanywa kwenye ving'amuzi vyote ambavyo ITV inaoneshwa?

hivi hujui kuwa startimes serikali ina ubia?ni rahisi kuwacontrol moja kwa moja kuliko ving'amuzi vingine...
 
Pole Baro, umeangalia taarifa ya habari ya ITV leo saa 2? Hili limethibitishwa na uongozi wa ITV, binafsi nilikuwa najua labda king'amuzi au network mbovu, kumbe kunahujuma. Ni aibu kwa STARTIMES!

Huu n uchonganishi na umbea mambo ya kieletronics unasema kuhujumiwa , kwani wao Itv wametoa taarfa ya kuhujumiwa au ndio unataka kuichonganisha serikali na vyombo vya habari
 
kwanini ITV ihujumiwe kupitia king'amuzi cha Star Times tu?? Kwanini hujuma hizi zisingefanywa kwenye ving'amuzi vyote ambavyo ITV inaoneshwa?

kwa sababu kingamuzi cha star times ni cha mtoto wa mkulu a.k.a riz 1.
 
hata mie nakeleka kweli nimeamua kupumzka kyangalia habar itv bcoz of that yan full sklach
 
Dah, Nlifikiri ni kwangu tu. Tena ikifika saa 1 usiku ndio inaanza huo usengenyaji wake!!
 
Mwaka wa uchaguzi huu, siku ITV ilipotangaza mkataba wake na DARUSO/KitilaMkumbo wa midahalo ya wagombe na yale mambo ya akina Warioba na Butiku ccm na serikali yake pressure.juu, hivyo wanajaribu jaribu tumbinu twa kale ili kuzuia mafuriko, ila wamechelewa, btw DSTv ni 17,000/ tu, dump that obsolete kisimbuzi and go for a real digital thing Azam, Dstv, zuku.
Ukiwa Startimes sawa uko ccm.
 
Huu n uchonganishi na umbea mambo ya kieletronics unasema kuhujumiwa , kwani wao Itv wametoa taarfa ya kuhujumiwa au ndio unataka kuichonganisha serikali na vyombo vya habari
nafikiri hukusikiliza taarifa ya habari.
 
Hata mimi nilikua najiuliza kwanini itv inakakata sasa nimepata jibu. Ngoja kesho niende benki nikavute mshahara niende zangu nikanunue azam tv cha star times nawapa watoto wachezee
 
ITV ndo tv yetu ya taifa, hilo dude linaloitwa Startimes na mkewe tbc naona km uchafu flani hivi unazolewa kwa kulipiwa na kodi zetu na kuozea dampooo. Tupa kuleeeee
 
Hapo Ni ITV Na EATV kujitoa Tu StarTimesCCM
 
Ila itv wasikwepe lawama hizi kwani hata Azam pia wakati mwingine husumbua.
 
Huu ni wendawazimu kabisa,nashanga hata yule Bi Joyce naye ananalamika,why msiende kwa service provider mwingine? this is free market, au waambieni wateja wenu wanunue vingamuzi vyenu Itv mnavyouza..
MENGI NI MTU WA CHUKI NA NIMNAFIKI SANA NA KILA SIKU HUTUMIA MEDIA ZAKE KUSAKA HURUMA YA WATANZANIA,INAWEZEKANA HUU MCHEZO WANAFANYA WENYEWE ITV ILI KUENDELEA KUWACHAFUA WATU FULANI/SERIKALI
 
ni kweli kabisa nilidhani labda cable imekatika mahala lakini nikajiuliza mbona channel zingine zinashika ni siku kama ya nne hivi kwangu hapa tabata ITV Inasumbua mda wa habari.
 
hayaland wacha speculations, hamia azam au continental na usizushe kuwa wanahujumiwa. hawawezi kuhujumiwa kwani hawana chochote cha kuwahujumu.

ona mpu.mbavu mwingine huyu! Embu nenda kasome maana hata elimu yenyewe huna , hakuta Tv station hapa tanzania yenye wapenzi kama ITV kwa vile wewe ni juha ungana na majuha wenzio wa TBC, shwain
 
Huu ni wendawazimu kabisa,nashanga hata yule Bi Joyce naye ananalamika,why msiende kwa service provider mwingine? this is free market, au waambieni wateja wenu wanunue vingamuzi vyenu Itv mnavyouza..
MENGI NI MTU WA CHUKI NA NIMNAFIKI SANA NA KILA SIKU HUTUMIA MEDIA ZAKE KUSAKA HURUMA YA WATANZANIA,INAWEZEKANA HUU MCHEZO WANAFANYA WENYEWE ITV ILI KUENDELEA KUWACHAFUA WATU FULANI/SERIKALI

yaani kijibwa wewe ndio wa kumuita mengi mnafiki?? Wewe ni kijibwa koko ambae huna hata hadhi ya kufua chu*i ya housegirl wa mengi, vimbwa vingine bwana ptuuuuuu! Unatia hadi kinyaa. Mengi ni ICON Katika mataifa makubwa sana sembuse kijibwa wewe ambao hata babaako tu hakufahamu kwa vile mtoto haram. Shwain
 
kwanini ITV ihujumiwe kupitia king'amuzi cha Star Times tu?? Kwanini hujuma hizi zisingefanywa kwenye ving'amuzi vyote ambavyo ITV inaoneshwa?

Kwasababu star times inamkono wa MAFISADI hadi wakichina.
 
yaani kijibwa wewe ndio wa kumuita mengi mnafiki?? Wewe ni kijibwa koko ambae huna hata hadhi ya kufua chu*i ya housegirl wa mengi, vimbwa vingine bwana ptuuuuuu! Unatia hadi kinyaa. Mengi ni ICON Katika mataifa makubwa sana sembuse kijibwa wewe ambao hata babaako tu hakufahamu kwa vile mtoto haram. Shwain
mama yako ndio ananijua vizuri..save your energy kwenye maandamano yenu
 
Tumehamia ITV ndo maana wanaihujumu. Hivi TBC wana taarifa ya habari ya saa mbili! Nina miaka sijaangalia tbc habari. Nilijiunga na simu tv kipindi cha escrow ili nisikose, ila sasa imekuwa kero kila siku wananitumia vimeseji, vinabore! How can i get out if this shit ya simutv ya tbc? Nisaidieni
 
Huu mwaka lazima watakuwa na vita kubwa sana tu hadi kieleweke
 
Back
Top Bottom