Lakini si star times watakuwa wa jina kibiashara? Mimi nilifikiri ni general problem mpaka siangalia tena kutumia hicho king'amuzi na hasa baada ya ITV Kuunganishwa dstv.ungemsikia mhavile alivyokuwa analalamika ni kama anasema wanahujumiwa between the lines,kwanini ving'amuzi vingine itv inaonekana clear...ukiunganisha dots utaona ni visasi vya majizi baada ya mengi kuyaumbua mafisadi.
Hawezi kufanya hivyo atakuwa anavunja kanuni. Kumbuka ving'amuzi vyote vinatakiwa kuwa na hizi local channel ili tuone bure!nyabhingi acha uduanzi wewe.. joyce mhavile hana sababu za kulalamika kwani wanavyo ving'amuzi vyao vya digitek. wanachopaswa kufanya ni kuwashauri watumiaji watumie ving'amuzi vyao tu na sio kupiga mayowe
kama hujaelewa mada uwe unauliza usaidiwe siyo unakimbilia kucomment uchafu kama huu.
kitokana na kutoonekana vizuri kwa ITV katika kingamuzi cha STAR TIMES wakati wa taarifa ya habari katika maeneo mbalimbali nchini hususani mkoa wa DSM inasekana kuna taarifa za kukihujumu kituo hicho kikongwe nchini.Baadhi ya vingamuzi kama vile CONTINENTAL,DSTV,AZAM TV,EASY TV,wakati wa taarifa ya habari ITV inaonekana vizuri sana lakini kwa star times inakatika katika hovyo hadi watazamaji wa ITV wanashindwa kutazama taarifa za habari vizuri.mwandishi alipokwenda katika ofisi za sta times walimpoga chenga kwamba hawako tayari kuzungumzia hilo jambo,kama vile haitoshi mwandishi akamlazim kwenda katika mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA prof. Mkoma alijibu ana wageni anawasubili.Hivyo katika kingamzi cha star times ITV inahujumiwa.
Huu n uchonganishi na umbea mambo ya kieletronics unasema kuhujumiwa , kwani wao Itv wametoa taarfa ya kuhujumiwa au ndio unataka kuichonganisha serikali na vyombo vya habari
Umeangalia habari yenyewe? Ama unaropoka tu? Wameweka na ushahidi ndugu na Bi Joyce Muhavile kasema ni hujuma zinafanyika. Usikurupuke kuchangia kama hukutazama habari husika
Mie nilishaachana na Startimes niko Azam, Ila kwa sasa natafuta king'amuzi cha uhakika kisichokuwa na TBC. Maana japo niliacha kuangalia TBC baada ya Tido kuondolewa kisiasa lakini sasa nataka hata watoto wangu wasiaccess TBC wasije wakapumbazwa.star tupu jamani,hata startv arusha haipatikani kabisa,ukiwauliza wanadai matatizo ya kiufundi ,kwanza katika king'amuzi ambacho hakina mvuti hapa nchini ndo kinaongoza,ngoja tuame kama tulivyoama vyama vya siasa
Huu ni wendawazimu kabisa,nashanga hata yule Bi Joyce naye ananalamika,why msiende kwa service provider mwingine? this is free market, au waambieni wateja wenu wanunue vingamuzi vyenu Itv mnavyouza..
MENGI NI MTU WA CHUKI NA NIMNAFIKI SANA NA KILA SIKU HUTUMIA MEDIA ZAKE KUSAKA HURUMA YA WATANZANIA,INAWEZEKANA HUU MCHEZO WANAFANYA WENYEWE ITV ILI KUENDELEA KUWACHAFUA WATU FULANI/SERIKALI