atavunjaje kanuni wakati anawauzia watu pamoja na airtime..sasa anawauzia wakaweke mapambo?
Hawezi kufanya hivyo atakuwa anavunja kanuni. Kumbuka ving'amuzi vyote vinatakiwa kuwa na hizi local channel ili tuone bure!