kwanini ITV ihujumiwe kupitia king'amuzi cha Star Times tu?? Kwanini hujuma hizi zisingefanywa kwenye ving'amuzi vyote ambavyo ITV inaoneshwa?
Huu n uchonganishi na umbea mambo ya kieletronics unasema kuhujumiwa , kwani wao Itv wametoa taarfa ya kuhujumiwa au ndio unataka kuichonganisha serikali na vyombo vya habari
kwanini ITV ihujumiwe kupitia king'amuzi cha Star Times tu?? Kwanini hujuma hizi zisingefanywa kwenye ving'amuzi vyote ambavyo ITV inaoneshwa?
nafikiri hukusikiliza taarifa ya habari.Huu n uchonganishi na umbea mambo ya kieletronics unasema kuhujumiwa , kwani wao Itv wametoa taarfa ya kuhujumiwa au ndio unataka kuichonganisha serikali na vyombo vya habari
hayaland wacha speculations, hamia azam au continental na usizushe kuwa wanahujumiwa. hawawezi kuhujumiwa kwani hawana chochote cha kuwahujumu.
Huu ni wendawazimu kabisa,nashanga hata yule Bi Joyce naye ananalamika,why msiende kwa service provider mwingine? this is free market, au waambieni wateja wenu wanunue vingamuzi vyenu Itv mnavyouza..
MENGI NI MTU WA CHUKI NA NIMNAFIKI SANA NA KILA SIKU HUTUMIA MEDIA ZAKE KUSAKA HURUMA YA WATANZANIA,INAWEZEKANA HUU MCHEZO WANAFANYA WENYEWE ITV ILI KUENDELEA KUWACHAFUA WATU FULANI/SERIKALI
kwanini ITV ihujumiwe kupitia king'amuzi cha Star Times tu?? Kwanini hujuma hizi zisingefanywa kwenye ving'amuzi vyote ambavyo ITV inaoneshwa?
mama yako ndio ananijua vizuri..save your energy kwenye maandamano yenuyaani kijibwa wewe ndio wa kumuita mengi mnafiki?? Wewe ni kijibwa koko ambae huna hata hadhi ya kufua chu*i ya housegirl wa mengi, vimbwa vingine bwana ptuuuuuu! Unatia hadi kinyaa. Mengi ni ICON Katika mataifa makubwa sana sembuse kijibwa wewe ambao hata babaako tu hakufahamu kwa vile mtoto haram. Shwain