Hawezi kufanya hivyo atakuwa anavunja kanuni. Kumbuka ving'amuzi vyote vinatakiwa kuwa na hizi local channel ili tuone bure!
ona mpu.mbavu mwingine huyu! Embu nenda kasome maana hata elimu yenyewe huna , hakuta Tv station hapa tanzania yenye wapenzi kama ITV kwa vile wewe ni juha ungana na majuha wenzio wa TBC, shwain
Kama huna mwanga wa marketing ni sawa na usiku wa giza, alichokifanya Mhavile ni marketing tosha binafsi najishauri kama nitakilipia tena mwezi ujao.
Mimi tangu nitupe hicho ki startimes naiona itv vyema sana kupitia azam na dstv,jirani yangu nilimshtua kuhusu hujuma hiyo inayofanywa na startimes dhidi ya itv na yeye akakitupilia mbali hicho ki taka taka,amehamia azam pia,na ana enjoy habari za uhakika na zisizo na ushabiki kutoka ITV,hawa wachina wanawadanganya viongozi wetu kuvigandamiza vyombo huru vya habari,ila wanasahau kuwa watu wanajua suluhisho la huduma mbovu ni kuhamia kwingine,mwisho wa siku strtimes na li Tbc lao watakosa watazamaji hata 10,000 nchi nzima,ccm wameamua kuhujumu kila wanachokihofia kufichua maovu yao,ukiona hivyo jua jambo moja tu------i
umeshahama wacha kupiga mayowe..ukihama wewe wengine wanajiunga. kumbuka wale ni kama mzinga wa nyuki amaboa wanaingia na kutoka mfululizo
kitokana na kutoonekana vizuri kwa ITV katika kingamuzi cha STAR TIMES wakati wa taarifa ya habari katika maeneo mbalimbali nchini hususani mkoa wa DSM inasekana kuna taarifa za kukihujumu kituo hicho kikongwe nchini.Baadhi ya vingamuzi kama vile CONTINENTAL,DSTV,AZAM TV,EASY TV,wakati wa taarifa ya habari ITV inaonekana vizuri sana lakini kwa star times inakatika katika hovyo hadi watazamaji wa ITV wanashindwa kutazama taarifa za habari vizuri.mwandishi alipokwenda katika ofisi za sta times walimpoga chenga kwamba hawako tayari kuzungumzia hilo jambo,kama vile haitoshi mwandishi akamlazim kwenda katika mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA prof. Mkoma alijibu ana wageni anawasubili.Hivyo katika kingamzi cha star times ITV inahujumiwa.
aligawee; naona akina davido k na jaq yu wamekulipa hela uje kutetea startimes ha ha ha ha....pole sana tapeli ni tapeli tu...Mshukuru mnabebwa na govt...
Tena si mnamwona azam mwenzenu anavyokaribia kuwapiku..??
Kumbe unaelewa eheee??becoming number one is easier than remaining number one...azam wakipita ni ustaarabu wa ushindani wa soko. mbona itv wamepitwa na clouds na tv one na sibuka? sijataja mlimani tv hapo
nimesogeza sogeza antena hadi basi!kitokana na kutoonekana vizuri kwa ITV katika kingamuzi cha STAR TIMES wakati wa taarifa ya habari katika maeneo mbalimbali nchini hususani mkoa wa DSM inasekana kuna taarifa za kukihujumu kituo hicho kikongwe nchini.Baadhi ya vingamuzi kama vile CONTINENTAL,DSTV,AZAM TV,EASY TV,wakati wa taarifa ya habari ITV inaonekana vizuri sana lakini kwa star times inakatika katika hovyo hadi watazamaji wa ITV wanashindwa kutazama taarifa za habari vizuri.mwandishi alipokwenda katika ofisi za sta times walimpoga chenga kwamba hawako tayari kuzungumzia hilo jambo,kama vile haitoshi mwandishi akamlazim kwenda katika mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA prof. Mkoma alijibu ana wageni anawasubili.Hivyo katika kingamzi cha star times ITV inahujumiwa.
Wakifungie kabsa kituo cha ITV cz kazi yake ni kuhujumu nchi kupitia fsadi na mkwepa kodi mengi
Mbwa kabisa Hawa..nimenunua antenna 3..nikajua antenna mbovu..nimepeleka TV langu kwa fundi mara2 kumbe hujuma!!!daaa..matako ya kuku kweli Hawa star times nyau
Wametangaza na wamehoji watu mitaani sasa unataka tuambia nini cha kuhalalishia kubaki kambi ya mashetani?Huu n uchonganishi na umbea mambo ya kieletronics unasema kuhujumiwa , kwani wao Itv wametoa taarfa ya kuhujumiwa au ndio unataka kuichonganisha serikali na vyombo vya habari
ITV yenyewe inamilikiwa na dalali Reginald Mengi. Yawezekana kwamba anadaiwa
Wakifungie kabsa kituo cha ITV cz kazi yake ni kuhujumu nchi kupitia fsadi na mkwepa kodi mengi
Pengine sikuelewa. Lakini ninachoweza ni kuwa ving'amuzi vyote vinatakiwa viwe na local channels za kitaifa. Wenye hizo tv hawana choice na kwa hiyo hawawezi kujitoa!atavunjaje kanuni wakati anawauzia watu pamoja na airtime..sasa anawauzia wakaweke mapambo?