Plan Radeem King
Senior Member
- Mar 25, 2018
- 198
- 127
Hakuna labda wakupe limit bundle
Thanks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna labda wakupe limit bundle
Hakuna boss wang tunazo hizi package mbili hii ya 20 Mbps per 115k
Na 30mbps per 165k monthly payment mkuu
Hiyo hata hapa Dar bahadhi ya maeneo hakuna networkHata kama nipo interior?
Shida ya fiber ni unaweza kuta hawana huduma eneo unalotaka wakufungie.Nani ana uzoefu na hawa Gofiber nimekutana na bango lao kabla sijawatafuta nilitaka kujua kutoka kwa wadau humu View attachment 2261304View attachment 2261305
Mkuu. How is it performing? Hivi ndio vitu nataka kusikia.Connect walitufungia bure Mbezi Beach.
Hiii iko vzr sana kama eneo ulilopo coverage yake iko pow kabsaFunga Supakasi ya Vodacom
Iko vizuriMkuu. How is it performing? Hivi ndio vitu nataka kusikia.
Speed yao iko vipi, gharama zikoje ,Connect walitufungia bure Mbezi Beach.
akuna unlimited hapo kwani wanafanya ujanja wa kupunguza speed wakiona unatumia sanaVODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE
Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi
Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi
No installation cost
For more information
Please check me [emoji338]0744355811
naomba no yao mkuu nami niongee naye,Siku chache zilizopita niliwasiliana na hii kampuni ya CONNECT 16 nikihitaji huduma ya internet kwa matumizi ya nyumbani(hasa huku remote areas) na nikapewa maelezo haya kutoka kwa mhusika:
1. Installation charges ni TZS 300,000/-
2. Monthly subscription ni TZS 75,000/- kwa package ya speed ya up to 20 Mbps(akasema inafanya vyema kabisa kwenye streams bila kustack)
3. Akasema kuna package nyingine za TZS 500K, 400K, 150K, 99K kwa mwezi japo hakuniambia ni kwa speed ipi ya internet; maana tayari nishamueleza kuwa nahitaji kwa matumizi tu ya nyumbani.
4. Installation ina combine:
i) Dish ii) Cable iii)Router
5. Akanambia nikihitaji huduma, itakamilika ndani ya muda wa siku 3-4 baada ya surveyor kufika site. akanambia lakini hata siku 1 kazi inaweza fanyika ikamalizika.
HOLD ON: Nikamuuliza lakini nilipata taarifa kuwa wenyewe wanafanya free installation, inakuwaje tena Kuna hiyo Laki 3 ya installation?
6. Akanambia maeneo niliyopo huku KIBAHA hakufahamu vyema, ila ingekuwa MBEZI BEACH au MWENGE angenifanyia FREE installation.
Akanambia:
"Unajua kibaha mtu anatumia nauli eeh?"
Nikamwambia:
" Ila ukiangalia LAKI 3 ni kubwa sana"
Akanambia: "Enewei, tufanye kitu kimoja, once ukiwa tayari niambie mie nijue cha kufanya. Ukiwa tayari na upo serious unahitaji huduma niambie, nitajua jinsi gani ya kukusaidia"
Nikamuuliza: " Unamaanisha nikiwa tayari na hiyo TZS 75,000/- nikujuze?"
Akanijibu: " YES"
Basi nikamtakia siku njema, tukamaliza maongezi yetu.
Najua JF ni jamii kubwa, nina uhakika kuna wateja humu tayari wa huduma ya SATELLITE INTERNET kutoka kwa hii kampuni; NAOMBENI EXPERIENCE yenu juu ya huduma yao.
IPO BOMBA? au NDIO HIVYO UKIUNGA INAHITAJI UPENDO NA MIUJIZA KUENDELEA NA HUDUMA YAO.
NAWASILISHA.
Una uhakika boss wang maan me natumia hii huduma mwez wa 6 Sasa na sjawah punguziwa speed Wala nnakuna unlimited hapo kwani wanafanya ujanja wa kupunguza speed wakiona unatumia sana