Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Tumia hata ubongo wako kidogo wangechukua taadhari kubwa leo hii, maabara ya kupima sampuli za corona iko moja tu tena dar. sasa huoni kama lingejadiliwa mapema wangetengeneza maabara hata tano kwenye majiji makubwa yenye muingiliano wa watuHoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Rest in peace masaburiUnafikiria kupitia nn ww
Ko hapo hujaona hoja!? Kweli mahaba ni kitu kibaya Sana!!Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Gloves utaziona jf?Bado nchi yetu afya ya raia wake siyo kipaumbele kikubwa,sioni hata juhudi za kuongeza mask ,glove wakati wanajua kutakuwa na demand kubwa soon"hata mask tunasubiri mh afanye ziara ya kushtukiza??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangeamua kila mgeni/mwenyeji toka nchi yenye Corona anapigwa kalantini siku 14Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
YOUR HEAD NEED BRAIN SCANHoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Hoja hapa ni nini?

Janga kama hili lilikuwa na muda wakuweza kujiandaa, lakini kwa kutokulijadili imepelekea kuonekana kama vile limeingia ghafla adi kupelekea pesa za mwenge kuingia huko. Wataalamu wa afya hawawezi kufanya kazi yao kwa ufanisi bila kuwa na vifaa husika na vyakutosha.Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Inaonekana hujui nchi inavyoendeshwa.Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Labda wangejadili,wangelipata njia mbadala wa kujiandaa kukabiliana na hili janga..Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Hao wataalam wa afya wangetoa pesa kwenye fungu ipi kabla ya kujadiliwa na bunge na kupitishwa? wewe mwenyewe unajua akount ya majanga ipo epty.Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Nataka nionekaneGloves utaziona jf?
Au ndio huonekane umechangia?
Nadhani alijibu bila kusoma, tumsamehe tu.Hao wataalam wa afya wangetoa pesa kwenye fungu ipi kabla ya kujadiliwa na bunge na kupitishwa? wewe mwenyewe unajua akount ya majanga ipo epty.
Wakati mwingine mnawapa watu shida sana kuwafikiria nia yenu kwa wananchi wa Tanzania.
Kweli sio kila mzee ana busara maana hata wapumbavu huzeeka!Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Kama umemaanisha hiki ulichoandika, basi jua wewe pia ni tatizo kwa Taifa.Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Kuna nyakati huwa nashawishika kukubaliWabunge wengi wa ccm ni hasara kwa taifa
Wataalamu wa afya bila kuwezeshwa na bajeti imara ya afya wanafanyaje huo utaaalamu mkuu?Hoja hapa ni nini?