yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi
Acha uchochezi,uzuri siku hizi uonevu hakuna kama waenzi yako pendwa,hivyo jipange na chuki zako upya dhidi ya wapenda haki na ustawi wa taifa hili.Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Naomba ukale kwanza mkuu nahisi unanjaaSiyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Anajua yeyeHela atatoa wapi?
Sioni ubaya maana katiba ni ya watanzania wote. Anayedai anadai kwa ajili ya watanzania wote na vyama vyoteSiyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Hata kama hawataenda wanachokataa ni ujambazi wa chaguzi,waweza ita wa uchafuzi.Wanataka katiba mpya si kwa lengo la kuwasaidia watz hapana!
Ila wanafikiri wakipata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi wataenda ikulu kiulaini.
Yani kwa mawazo yao wanafikiri kushindwa kwao ni sababu ya katiba mpya.
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Kamanda huwa nakukubali sanaSiyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Nadhani Hayati Mkapa na Mkwere waligundua lilifanyika kosa kutomalizia ule mchakato, kuna kipindi Mkwere alikwenda West Africa akasema ametamani utaratibu wa kuhesabu kura aliouona kule, Mkapa naye kuna jambo alizungumza kuonyesha hakuwa comfortable na baadhi ya maamuzi yaliyokuwa yakifanywa na awamu ya janaBila katiba mpya tutapiga Marktime ru lakini tutarudi quare 1.
Hii ni katiba ya Chama kimoja siyo ya Uhalisia
Hela atatoa wapi ndo mshika mkoba wa serikali. Akili nyingine sijui za wapi?Hela atatoa wapi?