Kuhusu dai la Katiba Mpya, Rais Samia shituka

Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.

Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?

Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
kwani we unatakaje? kwa akili yako ndogo unaona ikija katiba mpya utaumia?
 
Unajua mchakato wa kupata katiba bajeti yake ni shs ngapi?
Hela itakayotumika ni Mali ya wananchi, wao wenyewe wataamua hata watu 50 wenye weledi wanatosha kutengeneza katiba mpya wakiendeleza alipoishia Jaji Warioba na timu yake.
 
Chadema warudishe kwanza hela walizokula kwenye bunge la katiba alafu mwishoni wakatoka nje.

Tutaaminije kama hawatoka nje tena?
 
Mtu aliewadanya na huo uchumi wa kati kafa lakini nyie baado munamwamini
World bank imekufa? Ndiyo walioitangazia dunia Tanzania imeingia uchumi wa kati
 
Huyo ni mtu mmoja ambaye huwa anamfanyia kazi shetani ccm!
Shetani ni chadema waliokula hela za bunge la bajeti alafu wakatoka nje kabla hata hawajarudisha hela zetu wanataka tena mchakato wa katiba mpya!!!
 
Kweli kabisa
 
Acheni ujinga, msitutoe nje ya mstari... serikalini kuna ubadhilifu mkubwa sana...
 
Umeeleweka Mahera mana uwepo wa hii katiba ni hakikisho la kuendelea kuwa ktk nafasi yako
Wanataka katiba mpya si kwa lengo la kuwasaidia watz hapana!

Ila wanafikiri wakipata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi wataenda ikulu kiulaini.

Yani kwa mawazo yao wanafikiri kushindwa kwao ni sababu ya katiba mpya.
 
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.

Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?

Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani

Rais Samia waambie warudishe kwanza hela walizokula kwenye bunge la katiba alafu mwishoni wakatoka nje.

Vyawa wa magu hawajui wanataka nini. Inajulikana hata mama Samia hawa mtaji pia.

Kama mnamtaka mwendazake, kwani gwaji boy anasema je?
 
Jikite kwenye hoja
 
Katiba mpya kwa Tz haina tofauti na BBI Kenya, ni tatizo la wanasiasa wanagombania kuweka maslahi yao ya vyeo salama, ujinga ni Rais SSH kujiingiza ktk mitego isiyo na akili kama hii.

..Katiba mpya ili waingie Ikulu vs Katiba ya zamani ili wasitoke Ikulu.
 
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.

Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?

Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani

Rais Samia waambie warudishe kwanza hela walizokula kwenye bunge la katiba alafu mwishoni wakatoka nje.
Hitaji la Katiba sio la wanasiasa tu. Ni la wananchi wote. Asieona hitaji hilo hajitambui. Huyo ni bora liende.
Kuanza mchakato upya ni takwa la kikatiba kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya Katiba Wala sio suala la utashi wa mtu au kisingizio hekima au busara.
 
Jikite kwenye hoja

Utaweza kuelewa kweli wewe? Kwani akili zako ulisha rejeshewa?

Katiba mpya kama makubaliano bora zaidi ya mahusiano ya watu katika nchi, halijawahi kutokuwa hitajio la msingi la watu wowote wenye akili zao kichwani popote pale duniani katika wakati wowote.

Nakazia: mataga hamjui nini mnataka wala nini hamtaki. Kipimo cha shari ni kuwa mama Samia mnayejifanya leo kumshauri dhidi ya wananchi hammpendi pia na mko kwenye kumlia timing tu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.

Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?

Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani

Rais Samia waambie warudishe kwanza hela walizokula kwenye bunge la katiba alafu mwishoni wakatoka nje.
Wewee jamaa ni shida Sanaa. Hivi huwa ukitulia ukasoma ulichoandika unaelewa kweli content?
 
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.

Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?

Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani

Rais Samia waambie warudishe kwanza hela walizokula kwenye bunge la katiba alafu mwishoni wakatoka nje.
wee kilaza umeandika nini, unafikiri kwa kutumia matako.
 
Back
Top Bottom