Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Hata kama akili ni nywele ila zako ni kipilipili, kwanza katiba sio hitaji la wanasiasa bali kupitia wao ndipo itapatikana katiba ambayo itakua ni dira ya mustakabali wa taifa nan kasema rais aache shughuli nyingine then a stick na katiba mpya? Hilo ni moja wapo la kazi zake. Au unataka hitaji la katiba mpya apelekewe harmorapa?Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani