Kuhusu dai la Katiba Mpya, Rais Samia shituka

wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere
Kweni umesikia Mama ndie anayebeba Zege?
susp.png
 
Hela atatoa wapi ndo mshika mkoba wa serikali. Akili nyingine sijui za wapi?

Katiba mpya ni kwa ajili ya misingi mizuri itakayolinda projects zote zinazofanywa pia!

Au akili zenu zilishachomolewa mnajiendea kama maroboti tu yanayoendeshwa kwa remote!!
Unajua mchakato wa kupata katiba bajeti yake ni shs ngapi?
 
Katiba mpya kwa Tz haina tofauti na BBI Kenya, ni tatizo la wanasiasa wanagombania kuweka maslahi yao ya vyeo salama, ujinga ni Rais SSH kujiingiza ktk mitego isiyo na akili kama hii.
Kenya kila mwaka wao ni katiba tu, wanasiasa wanajitengea bajeti ya mabilioni kwa ajili ya kutafuta katiba.
 
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.

Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?

Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Wewe ni tahira kabisa! Wasted sperm!
Kwahiyo dai la katiba mpya katiba ya wananchi imekuwa uhaini?
Mbw∆ kabisa www
 
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.

Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?

Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Acha aingizwe chaka tu hamna namna
 
akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?

Katiba ni hitaji la wanasiasa? Hiyo kwa kiingereza inaitwa “fallacy”. Ni uongo au ujinga mwingine mliopandikiziwa na mwendazake katika harakati zake za kutaka kutawala kidikteta milele.

Katiba ndiyo inawawezesha wananchi kuchagua viongozi wanaowataka na kuwadhibiti watimize wajibu wao inavyopasa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha utawala wa sheria na haki za binadamu zinaheshimiwa nchini.
 
Mbowe, Lema, Msigwa wamekuwa wabunge kwa miaka mingi mfululizo kwa tume ipi?
 
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani

Kama ni kweli wanataka hivyo basi watakuwa hawana mapenzi mema na shida za Wananchi!! Kwanini wanataka fedha ya walipa kodi zipotee kwa kuanza mchakato upya? Hili haliingii akilini hata kidogo.
 
Back
Top Bottom