kwani we unatakaje? kwa akili yako ndogo unaona ikija katiba mpya utaumia?Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Hela itakayotumika ni Mali ya wananchi, wao wenyewe wataamua hata watu 50 wenye weledi wanatosha kutengeneza katiba mpya wakiendeleza alipoishia Jaji Warioba na timu yake.Unajua mchakato wa kupata katiba bajeti yake ni shs ngapi?
Chadema warudishe kwanza hela walizokula kwenye bunge la katiba alafu mwishoni wakatoka nje.Hela itakayotumika ni Mali ya wananchi, wao wenyewe wataamua hata watu 50 wenye weledi wanatosha kutengeneza katiba mpya wakiendeleza alipoishia Jaji Warioba na timu yake.
Shetani ni chadema waliokula hela za bunge la bajeti alafu wakatoka nje kabla hata hawajarudisha hela zetu wanataka tena mchakato wa katiba mpya!!!Huyo ni mtu mmoja ambaye huwa anamfanyia kazi shetani ccm!
Wanataka katiba mpya si kwa lengo la kuwasaidia watz hapana!
Ila wanafikiri wakipata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi wataenda ikulu kiulaini.
Yani kwa mawazo yao wanafikiri kushindwa kwao ni sababu ya katiba mpya.
Mwaka Jana tumeingia uchumi wa kati ,je tulikuwa na katiba mpya?
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Rais Samia waambie warudishe kwanza hela walizokula kwenye bunge la katiba alafu mwishoni wakatoka nje.
Katiba mpya kwa Tz haina tofauti na BBI Kenya, ni tatizo la wanasiasa wanagombania kuweka maslahi yao ya vyeo salama, ujinga ni Rais SSH kujiingiza ktk mitego isiyo na akili kama hii.
Hitaji la Katiba sio la wanasiasa tu. Ni la wananchi wote. Asieona hitaji hilo hajitambui. Huyo ni bora liende.Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Rais Samia waambie warudishe kwanza hela walizokula kwenye bunge la katiba alafu mwishoni wakatoka nje.
Jikite kwenye hoja
Wewee jamaa ni shida Sanaa. Hivi huwa ukitulia ukasoma ulichoandika unaelewa kweli content?Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Rais Samia waambie warudishe kwanza hela walizokula kwenye bunge la katiba alafu mwishoni wakatoka nje.
Asante. UbarikiweKilaza kama wewe huwezi kuelewa kitu
wee kilaza umeandika nini, unafikiri kwa kutumia matako.Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.