Kuhusu Dkt. Mpango, Tumepoteza Mzalendo ndani ya Mfumo (System)

Kajamaa kalimpiga kweli kweli. Hapo Bichura, hakuwa na namna.
 

sasa je, huyo Mpango hana la kufanya?!!!?
 
DP world kawekeza Nini?
 
Na lami ilifikishwa haraka alipokwaa umakamo. Maji ya bomba yakafuata.
 
Hata kipindi cha mjadala, Dr Mpango hakuwahi hata siku moja kucomment anything about DP world maana alijua ni . HASARA nyingine kwa taifa. DP world ni another SCAM , wake up !!!!!!
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…