Tatizo kuna watu wako CHADEMA lkn bado wanapambana na Mbowe na kila wanayedhani anaelewana na MboweInawezekana kuna makosa katika kauli zake, hakuna asiyekosea, lakini wanaompinga wameenda mbali zaidi kuliko uhalisia
Lema kuwa karibu na labda kuwa kabila moja na Freeman Mbowe au labda wote kutoka kijiji kimoja isiwe sababu ya kushambuliwa kwake, tuko wengi tuliokuwa karibu na Mbowe nikiwemo mimi na wengine wengi mpaka Tundu Lissu, sasa kwa jambo hilo sidhani kama tunazuiliwa kutoa maoni
Wakosoaji wa Lema ni kama walisubiri akosee ili wamshambulie, kwamba walikuwa na madukuduku yao wakisubiri upenyo, hizo ni siasa za kishamba ambazo hazikubaliki, si kila mchaga lazima apigwe vita, siasa za ukabila ndani ya chadema hazikubaliki.
Kingine ni hiki, Lema hana uwezo wa kushawishi jambo kubwa ndani ya chama hata kama ni mjumbe wa kamati kuu, kwahiyo wenye mashaka naye ondoeni, hii kwa sababu hakuna lolote litafanyika kwa ushawishi wake.
Ifahamike kwamba mimi ni miongoni mwa wale wasiotaka maridhiano na Shetani, hilo kila mmoja wenu analifahamu, sasa kwa andiko hili isitafsiriwe kwamba naunga mkono jambo hilo
Niko Tayari kusahihishwa.
WABHILLAH TAWFIQ
Lema si mweka hazina wa ChademaTattizo kubwa hiii vita inapigwa kiukabila na siyo kujua hali halisi ya tatizo ila imegemea kwenye kupiga vita lile kabila. na inapata nguvu haswaa kwa nature ya ilo kabila kuwa na umakini kwenye maswala ya pesa ukilinganisha na shutma anazotupiwa sijui ni kweli au lah muda utaongea
Mh!Hakuna tuhuma zenye mashiko
Mimi siyo kiongozi wa ChademaViongozi CDM mngepunguza kuongea na vyombo vya habari(naamini wewe ni kiongozi wa CDM), kama kuna tofauti za kimtazamo na kutuhumiana kwa hapa na pale, malizeni huko ndani, then atoke kiongozi mmoja ajulishe jamii.. kama mlivyofanya kwenye tuhuma za tonetone kwa bwana Heche..nje ya hapo mnaharibu na kujitoa kwenye FOCUS..asante
Wewe mwenyewe ukileta mdomo utafukuzwa chadema wewe endelea kuleta maneno unaweza kuondoka na Lema kama ulinusurika kwa Mbowe
Huu ushauri ni mzuri sana wangeufuataViongozi CDM mngepunguza kuongea na vyombo vya habari(naamini wewe ni kiongozi wa CDM), kama kuna tofauti za kimtazamo na kutuhumiana kwa hapa na pale, malizeni huko ndani, then atoke kiongozi mmoja ajulishe jamii.. kama mlivyofanya kwenye tuhuma za tonetone kwa bwana Heche..nje ya hapo mnaharibu na kujitoa kwenye FOCUS..asante
Records zipo hapo awali ulikuwa una muunga mkono nani.kusahihishwa
Mara zote naunga mkono ChademaRecords zipo hapo awalinulikuwa unamuunga mkono nani.
Kama unachosema ni sahihi ni kivipi Lema akawa wakala wa kuhesabu kura za Lisu na Lisu akashinda?Wewe pia ni msaliti inabidi ufutwe uanachama CHADEMA. Wewe na Lema ni mapandikizi ya Mbowe. Mnamhujumu Heche na Lissu.
Afadhali yeye amepigwa mkwala ikaishia hapo, wewe unapigwa miti na abdul na bado unaona ni sawa tu!.Umeshapigwa mkwara
Ni kweli mkuu nakujua kwa kuunga mkono CDM hata katika kipindi cha Magu alipodidimiza demokrasia, lakini kwa hili la Lema mkuu nakuomba uwe mpole tu maana huyo Lema angekua anahitaji ku solve mambo kwa busara asingeandika mambo ya chama mtandaoni hususani lile swala la Passport ya Heche.Mara zote naunga mkono Chadema
Naona upo na kuni zako kazi kurushia Motoni.Wewe pia ni msaliti inabidi ufutwe uanachama CHADEMA. Wewe na Lema ni mapandikizi ya Mbowe. Mnamhujumu Heche na Lissu.
Mkuu tunaomba utufahamishe tusiofahamu hilo tafadhali sana.Mnajuwa sababu za aliyekuwa mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Imran Kombe kuuwawa?
Erythrocyte siyo MchagaWachaga kwa kuteteana mpo vizuri sana.