Kuhusu Godbless: Napingana na wengi, siungi mkono mashambulizi dhidi yake

Wakionesha kujali utu wa hao waovu kwa hali ilivyo sasa lazima wataonekana kwamba wamelamba asali.
(Nimejaribu kuguess tu sina uhakika though!)
Hivi siku hao wauaji wakitaka kuhamia CDM watakataa?
Politics is about persuading and winning the numbers...
The best way kufanya hivyo ni kusimamia misingi ya utu, haki na uwajibikaji.
Wajitahidi wawe very strategic.
 
Hivi siku hao wauaji wakitaka kuhamia CDM watakataa?
Politics is about persuading and winning the numbers...
The best way kufanya hivyo ni kusimamia misingi ya utu, haki na uwajibikaji.
Wajitahidi wawe very strategic.
Strategy ni moja tu nayo ni Kusimamia HAKI pasipo kutetereka kwa maslahi ya wengi kinyume na hapo ni ujanja ujanja ambao mbio zake ni za sakafuni.

Ukiwa umeoza halafu unataka kujichanganya na walio wazima kabla ya kufocus kuutibu uozo wako kwanza tafsiri yake unataka kuwafanya wazima nao waoze kama wewe(hila)
 
Sawa ila waliokaribu nae wasisahau kumkumbusha kwamba alekebeshe ile kauli yake kuwa heche alipewa passport yake na mombo ili ajisafishe maana jana nilimskia heche akiwa mahakamani chini ya kiapo kuwa alipewa na afisa wa uhamiaji
Uko sahihi
 
Kwa Nini mboe haendi mahakamani kumuona lissu .ila madhiimisho ya CCM mbiombio
 
Mimi nilishangaa tuu na yeye kuulizwa kuhusu passport yake.akakimbilia na kuzungumzia passport ya heche.

Ukweli ni kwamba heche na lema kuna shida na ni kama lema ana hasira sanaa sanaaa na heche.

Iko siku Ukweli utajulikana tuuu
 
Na kwanini aulizwe yeye kuhusu passport yake.ila ajibu na kuhusu passport ya heche?.

Ukifuatia ukitoa video ya jana aliyopst ya heche kusema watu wasishambuliane mtandaoni. Ni lini ali post kauli au video yoyote ya heche?.

Ukweli usemwe wazi hawa wawili hawaelewani. Sema heche ameamua kutorumbana mangi hadharani
 
Kuteleza si kuanguka
 
Nikuhakikishie jambo moja.
Licha ya majibu yote haya yaliyonyooka vizuri kabisa na kueleweka, usishangae kesho au keshokutwa ukakutana na mtu huyu huyu akitaka umueleze hayahaya uliyoeleza hapa!
 
Nikuhakikishie jambo moja.
Licha ya majibu yote haya yaliyonyooka vizuri kabisa na kueleweka, usishangae kesho au keshokutwa ukakutana na mtu huyu huyu akitaka umueleze hayahaya uliyoeleza hapa!
Inashangaza sana! eti mtu akivaa kijani tayari ni mwakilishi. Ikiwa ni hivyo si Mbowe alikwenda , je aliwakilisha CDM!
Halafu anafanya spinning katika very low level kwamba CCM walimtaka TL aliyekataa upuuzi wa maridhiano
Nimemwacha ! discussion inapoteza maana kwa hoja flimpsy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…