Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Ptuuu!Kabisaa.
Eti ndo think tank lao hili linajibu.
Ptuuu!Kabisaa.
Sawa ila waliokaribu nae wasisahau kumkumbusha kwamba alekebeshe ile kauli yake kuwa heche alipewa passport yake na mombo ili ajisafishe maana jana nilimskia heche akiwa mahakamani chini ya kiapo kuwa alipewa na afisa wa uhamiajiNi haki yake...
Mwache aongee, huenda tulimuelewa vibaya kesho akarekebisha...
Press conference wanafanya hadi watu duni kama Mwaipopo...
Ni haki ya kila ntu.
Name calling ni kosa kisheria kwa mujibu wa JF HATA KAMA UNAANDIKA UONGOWewe ni erythrocyte
KUwa makiniNikipigwa ban utafaidika na nini? Wapi nimekuita jina lako?
Heche hahusiki na vitengo vya fedhaKwanini chokochoko za kula hela za chama zilianzia kanda anayoielea na baadae Tanga kanda aliyokuwa anaiongoza akiwa Mwenyekiti ?
Sidhani kama ni hivyo labda kama Hilda ni CCM.Wanaotoa maoni ya usaliti siyo CHADEMA ni mahasimu wao wanaotumia fursa zinazotengenezwa na CHADEMA
CHADEMA unaweza kuona wanajibishana lakini ukweli ni kwamba wapo CHADEMA wanaojibishana na CCM
Na hapa ndipo CDM inapokosea. Zinapotoka shutuma zozote za ufisadi (bila kujai zimetoka wapi) ni busara kuzi address. Kusema itakuwaje CCM wajali "ufisadi" ndani ya Chadema kuliko Chadema inawafanya watu waanze kuamini kuwa ufisadi ni tatizo tu pale unapofanywa na CCM. Ufisadi ukifanywa na upande pendwa ndani ya Chadema unafungiwa macho. Hiyo inawaondolea haki ya kuwanyooshea vidole wanachama wa CCM zinapotokea tuhuma kama hizo.Issue ya Tone tone ilishikiwa Bango hadi akina Mwashamba na wenzake kuliko CHADEMA wenyewe
Issue ya Passport imeshikiwa bango hadi na mawakili kuliko CHADEMA wenyewe
CCM kama mpinzani wa Chadema wana haki ya kutumia kila mbinu kukipunguza nguvu. Ndio maana wengine tuliwastukia walipoanza kumfanyia kampeni za waziwazi Mbowe. Ni lazima walijua kuwa kufanya hivyo kutawafanya watu wampigie kura mshindani wake. Na ndicho kilichotokea. Mimi sikubaliani na watu kusema kuwa mazungumzo ya kuelekea kwenye maridhiano chini ya Mbowe hayakufanikiwa. On the balance of things, Chadema walikuwa katika nafasi nzuri baada ya kuingia kwenye hayo mazungumzo kuliko ilivyokuwa kabla.Unajua lengo ni Heche tu waweze kupata 'puppet'' ili kupiga picha na kupoteza muda kama walivyomtenda Mbowe. Jiulize kwanini CCM wanachukizwa na kinachoitwa ''Ufisadi'' ndani ya CHADEMA kuliko eneo jingine lolote
Nakubaliana na wewe kwenye hili.Tatizo la CHADEMA ni haya ya kusema hovyo bila kujali madhara yake. Mfano, tone tone Lema alitajwa sana na hakuwahi kutoka kukanusha au kufafanua. CCM wakaidaka na kuitumia fursa!
Kilicho wazi ni kuwa ndani ya Chadema kuna tatizo. Lema hakuulizwa kuhusu passport yake kwa nia njema. Nadhani aliingiza ya Heche kuonyesha kuwa yeye kupata passport haikuwa ushahidi wa usaliti wake.Juzi Lema anaulizwa passport yake ana insinuate ya Heche na usalama wa Taifa! kulikuwa na ulazima gani na sasa imebainika si kweli, je amesaidia vipi Chama chake. CCM na Mawakili wanaitumia dhidi ya Makamu na Lissu
Sijui kwa nini hakufanya hivyo. Lakini Esther Matiko alishiriki kwenye matanga na nadhani alitoa salamu za pole kutoka chama chake.Kuhusu rambi rambi, Lema ana uhuru wa maoni. Hata hivyo lazima aangalie nyakati. Mfano, alipofariki dereva wa Heche katika mazingira tata, Lema alikuwa wapi kuandika bandiko la faraja kwa Familia na Chama chake!
Ni wapi CCM walitoa salam za rambi rambi kwa tukio hilo!
Hapo mnamuonea Lema. Mwenyekiti alisema kwa sauti kuwa rambi rambi zake zipelekwe. Kwa vile Chadema haijaja na tamko kusema kuwa hakukusudia zitumwe salamu hizo kwa Mwenyekiti wa CCM basi inaonyesha kuwa alitaka kweli zifikishwe. Lema kuziweka kwenye social media sio cardinal sin.Na kubwa ni la kuunganisha kauli za Mwenyekiti na rambi rambi. Lema alipaswa kuelewa nyakati na atmosphere iliyopo. Angeweza kwenda kutoa pole zake bila kuleta sintofahamu.
Public mood ipi? Kuwa public haitaki mfiwa apewe pole? Hili ni tatizo lingine la Chadema. Kinapoteza nguvu nyingi kwenye mambo yasio na msingi kama Mbowe kuhudhuria dhifa ya kitaifa, kwenda Kizimkazi kutoa pole na hii ya Lema.Ni lazima atenganisha personal affairs na public affairs na aweze kusoma public mood.
Chama chake kiliisha vurugwa kitambo. Na wahasimu wao wanatumia paranoia ya Chadema kuwachezea wanavyotaka. Chadema bado inahitaji wanasiasa wakongwe na kinabidi kukubali kuwa sio wote watakuwa na mtazamo sawa na uongozi. Kukubali hizo tofauti ndio kutakipa nguvu. Bahati mbaya naona Chadema wako busy kufuata mifano ya CCM. Kwa vile CCM ilimtimua Ndugai nao wanataka kutimua watu wao.Kwa hili, Lema ameshiriki kuvuruga Chama chake. Zama za wanasiasa wakongwe anapaswa akae pembeni. Tuchukulie mfano wa Marehemu Ndugai! CCM walimuondoa ili kuokoa taswira ya chama chao.
Aachiwe afanye huo uamuzi mwenyewe. Na sitashangaa kama baada ya kuachia ngazi kelele za kuwaondoa Sugu na Boni hazitapamba moto. Na wao wakiondoka, atafuata Mnyika, ili mradi watu wote walioonekana wana sympathy na Mbowe watasafishwa. Chadema cannot afford kuwapoteza. Wakiingia katika huo mtego, watakuwa wamempa ushindi CCM.
Hapo namzungumzia Lema, personally naamini Lema hawezi kukisaliti Chama chake.Heche hahusiki na vitengo vya fedha
Unachekesha! Sasa erythrocyte sio jina lako humu jf? Soma sheria vizuriName calling ni kosa kisheria kwa mujibu wa JF HATA KAMA UNAANDIKA UONGO
KUwa makini
Nakuonya tena usitaje majina ya watu hairuhusiwi kwa sheria za jf, hata kama unaandika uongoUnachekesha! Sasa erythrocyte sio jina lako humu jf? Soma sheria vizuri
Mbogamboga katika ubora wake!Wewe pia ni msaliti inabidi ufutwe uanachama CHADEMA. Wewe na Lema ni mapandikizi ya Mbowe. Mnamhujumu Heche na Lissu.
Huitwi erythrocyte? Hiyo sheria hujaielewa inafanya kazi kama nitakuita jina tofauti na ulilojiandikisha jf.Nakuonya tena usitaje majina ya watu hairuhusiwi kwa sheria za jf, hata kama unaandika uongo
Niliwahi kusema zamani CHADEMA na wanachama wake kuwa na tabia ya Nyegere.Sidhani kama ni hivyo labda kama Hilda ni CCM.
Na hapa ndipo CDM inapokosea. Zinapotoka shutuma zozote za ufisadi (bila kujai zimetoka wapi) ni busara kuzi address. Kusema itakuwaje CCM wajali "ufisadi" ndani ya Chadema kuliko Chadema inawafanya watu waanze kuamini kuwa ufisadi ni tatizo tu pale unapofanywa na CCM. Ufisadi ukifanywa na upande pendwa ndani ya Chadema unafungiwa macho. Hiyo inawaondolea haki ya kuwanyooshea vidole wanachama wa CCM zinapotokea tuhuma kama hizo.
CCM kama mpinzani wa Chadema wana haki ya kutumia kila mbinu kukipunguza nguvu. Ndio maana wengine tuliwastukia walipoanza kumfanyia kampeni za waziwazi Mbowe. Ni lazima walijua kuwa kufanya hivyo kutawafanya watu wampigie kura mshindani wake. Na ndicho kilichotokea. Mimi sikubaliani na watu kusema kuwa mazungumzo ya kuelekea kwenye maridhiano chini ya Mbowe hayakufanikiwa. On the balance of things, Chadema walikuwa katika nafasi nzuri baada ya kuingia kwenye hayo mazungumzo kuliko ilivyokuwa kabla.
Nakubaliana na wewe kwenye hili.
Kilicho wazi ni kuwa ndani ya Chadema kuna tatizo. Lema hakuulizwa kuhusu passport yake kwa nia njema. Nadhani aliingiza ya Heche kuonyesha kuwa yeye kupata passport haikuwa ushahidi wa usaliti wake.
Sijui kwa nini hakufanya hivyo. Lakini Esther Matiko alishiriki kwenye matanga na nadhani alitoa salamu za pole kutoka chama chake.
Hapo mnamuonea Lema. Mwenyekiti alisema kwa sauti kuwa rambi rambi zake zipelekwe. Kwa vile Chadema haijaja na tamko kusema kuwa hakukusudia zitumwe salamu hizo kwa Mwenyekiti wa CCM basi inaonyesha kuwa alitaka kweli zifikishwe. Lema kuziweka kwenye social media sio cardinal sin.
Public mood ipi? Kuwa public haitaki mfiwa apewe pole? Hili ni tatizo lingine la Chadema. Kinapoteza nguvu nyingi kwenye mambo yasio na msingi kama Mbowe kuhudhuria dhifa ya kitaifa, kwenda Kizimkazi kutoa pole na hii ya Lema.
Chama chake kiliisha vurugwa kitambo. Na wahasimu wao wanatumia paranoia ya Chadema kuwachezea wanavyotaka. Chadema bado inahitaji wanasiasa wakongwe na kinabidi kukubali kuwa sio wote watakuwa na mtazamo sawa na uongozi. Kukubali hizo tofauti ndio kutakipa nguvu. Bahati mbaya naona Chadema wako busy kufuata mifano ya CCM. Kwa vile CCM ilimtimua Ndugai nao wanataka kutimua watu wao.
Aachiwe afanye huo uamuzi mwenyewe. Na sitashangaa kama baada ya kuachia ngazi kelele za kuwaondoa Sugu na Boni hazitapamba moto. Na wao wakiondoka, atafuata Mnyika, ili mradi watu wote walioonekana wana sympathy na Mbowe watasafishwa. Chadema cannot afford kuwapoteza. Wakiingia katika huo mtego, watakuwa wamempa ushindi CCM.
Amandla...
Pengine wako kwenye payroll ya kubomoa chama chao who knows ?Tatizo la wanaharakati wanajifanya sana wao ni watakatifu! Hivi mtu muovu akifiwa, akipewa pole kuna shida gani?
Yaani Lissu au Lema kutoa pole kwa muuaji ni tatizo?
Hivi siku upinzani wakichukua madaraka wanataka kutuaminisha kuwa watakuwa hawahudhurii kwenye misiba ya wapinzani wao?
Njia pekee ya kuondoa uovu si kuukoleza uovu zaidi!
Muovu atendewe kwa huruma ili aoneshwe utofauti!
Mange Kimambi, Maria Sarungi, Hilda Newton na wanaharakati wengine wajifunze kufanya siasa zenye kujali utu hata wa wale wanaowadhulu haki zao!
Nchi ni ya wote, waovu na wao "wasiokuwa" waovu!
Lisu alishiriki kumpokea Lowasa na alishiriki kumnadi kwa nguvu zake zote ili watz wamchague kuwa rais.Ni kweli, lakini Lissu hajafanya mienendo yeyote inayotia shaka..
Lema ni tapeli, mpenda sifa, nabii uchwara...
CCM kweli wana changamoto zao.Unaona siasa za CCM ni zenye kujali utu?
Kuua , kufira, kubambika kesi, kuteka ndizo siasa zenye utu....
Msiba wa Ali Kibao huyo mfiwa alisemaje? Alisema kifo ni kifo tu..
Mauaji ya 29 Oct, alijibu nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi..
Umeona hata mwenye video eneo la tukio Mdude Nyagali alitekwa? Ule ndio utu?
Unachozungumza ni toxic positivity, kauli za kutiana moyo hata katika nyakati ngumu za kufanya maamuzi magumu na yenye uhalisia , unachosema hakuna uhalisia hapo kwamba anayekufanyia mabaya wewe mtendee wema...
Kwa muono wako. Kipi ni sahihi, kati ya watu kuamini kwenye falsafa ya Chama au kuamini kwenye figures wa Chama ambao leo wapo kesho hawapo?Chadema inabidi kuwa makini sana. Inaelekea kuna mpango wa kudhoofisha chama chenu kwa kuwaondoa wale wote wenye experience ya siasa za upinzani. Sio tu Lema, Boni na Sugu pia wametajwa kuwa ni wasaliti wa Chadema. Watu kama Boni na Sugu wana base ambayo itamchukua mtu mgeni muda mrefu kuweza kuijenga. Kwa mawazo yangu, kwa sasa hivi, Chadema ina watu wachache sana wenye mvuto wa kitaifa au hata wa kijimbo.
Majuzi nilimsikia Lissu akiuliza mbona kuna watu wachache Mahakamani. Hiyo hali sio nzuri.
Amandla...
Wewe ni chawa wa nani hapo chadema?Mimi siyo kiongozi wa Chadema
Wewe unadhani watu wanafuata maneno tu bila kushawishiwa n watu.Kwa muono wako. Kipi ni sahihi, kati ya watu kuamini kwenye falsafa ya Chama au kuamini kwenye figures wa Chama ambao leo wapo kesho hawapo?
Huko kote watu wana mapenzi na Chama sio hao individuals. Nafikiri tulishatoka kwenye zama za kutukuza majina baada ya ule uchaguz uliomtoa Mbowe madarakani.Wewe unadhani watu wanafuata maneno tu bila kushawishiwa n watu.
Mkiwaondoa Sugu, Boni na Lema maana yake mmepoteza Mbeya yote, Dar es Salaam yote, Arusha yote nyinyi hamuoni hili mnafuata tu hekaya za kina Hilda na Maria ambao hawajawahi hata kugombea udiwani