MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 5,995
- 8,799
Mimi huwa sopati shida na lumumba watunga ngonjela kwa chadema hajaanza Leo mbona tunataka tume Hulu naa katiba mpya hakuna lingine
I mean anaweza kutokea mtu akabishana na Hilda akidhani ni mwenzake kumbe ni CCM. Mfano, mtu akijificha kwa ID na kusema yeye ni Team Mbowe na kwamba kuna abcd dhidi yao na Hilda kumjibu huoni hapo ni mtafaruku wa CCM Vs CHADEMA lakini kwa picha ya CHADEMA Vs CHADEMASidhani kama ni hivyo labda kama Hilda ni CCM.
Haiingii akilini kwamba CCM wanaweza kuona ufisadi wa CHADEMA wakati wote wamekaguliwa na CAG!Na hapa ndipo CDM inapokosea. Zinapotoka shutuma zozote za ufisadi (bila kujai zimetoka wapi) ni busara kuzi address. Kusema itakuwaje CCM wajali "ufisadi" ndani ya Chadema kuliko Chadema inawafanya watu waanze kuamini kuwa ufisadi ni tatizo tu pale unapofanywa na CCM. Ufisadi ukifanywa na upande pendwa ndani ya Chadema unafungiwa macho. Hiyo inawaondolea haki ya kuwanyooshea vidole wanachama wa CCM zinapotokea tuhuma kama hizo.
Of course ndiyo maana ninasema agenda za CCM wanazipata kutoka CHADEMA na wana haki ya kuzitumia . Siasa ni timing tu! hapa ndipo Lema anaingia kwamba kila likizuka jambo la chini chini yeye anahusika ! ni kwa interest gani za chama chao!CCM kama mpinzani wa Chadema wana haki ya kutumia kila mbinu kukipunguza nguvu.
CCM walimtaka Mbowe kwasababu wanasema ''anazungumzika, ni understanding, polite na humble''Ndio maana wengine tuliwastukia walipoanza kumfanyia kampeni za waziwazi Mbowe. Ni lazima walijua kuwa kufanya hivyo kutawafanya watu wampigie kura mshindani wake. Na ndicho kilichotokea.
Mwisho wake ulikuwa nini! CCM wali buy time kisha wakaondoka. Kupoteza muda ni silaha ya CCM ndio maana hawaaminiki kwa Wananchi. Mbowe in hind sight ''alisababisha'' Oct 29 kwasababu kwa unyenyekevu usio na busara Wananchi walipoteza matumaini, walijawa na hasira wakijua ulaghai aliotendewa na CCM.Mimi sikubaliani na watu kusema kuwa mazungumzo ya kuelekea kwenye maridhiano chini ya Mbowe hayakufanikiwa.
Ilikuwa mbaya sana, huwezi kuzungumza na wahuni wa CCM ukitarajia mafanikio. Ni uhunui tu hata mwenezi Pole pole alisema.On the balance of things, Chadema walikuwa katika nafasi nzuri baada ya kuingia kwenye hayo mazungumzo kuliko ilivyokuwa kabla.
It was not necessary, hoja yake ikatumika Mahakamani bila sababu. Ni utetezi wa kipuuzi sanaKilicho wazi ni kuwa ndani ya Chadema kuna tatizo. Lema hakuulizwa kuhusu passport yake kwa nia njema. Nadhani aliingiza ya Heche kuonyesha kuwa yeye kupata passport haikuwa ushahidi wa usaliti wake.
Lema hakufanya chochote hata kusaidia msiba. Ndio maana watu wanaunganisha na la passport na kumuona alikuwa na nia mbayaSijui kwa nini hakufanya hivyo.
Hivi Esther yupo CHADEMA bado! sikujuaLakini Esther Matiko alishiriki kwenye matanga na nadhani alitoa salamu za pole kutoka chama chake.
Nilisema mahali kwamba kauli za Tundu Lissu hazikuwa sawa wamweleze. Lema alitakiwa asishadidie kwasababu alikuwa na uwezo wa kuwasiliana na Heche au Kamati kuu. Hizi habari za kuanika laundry barabarani ni za kipuuzi sana. He should have known this! Watu walimshukia kwa bandiko lake halafu anapambana bila kujali hisia. Jana katukana 'keyboard warriors' etc yaani anaongea profusely disregarding the consequencesHapo mnamuonea Lema. Mwenyekiti alisema kwa sauti kuwa rambi rambi zake zipelekwe. Kwa vile Chadema haijaja na tamko kusema kuwa hakukusudia zitumwe salamu hizo kwa Mwenyekiti wa CCM basi inaonyesha kuwa alitaka kweli zifikishwe. Lema kuziweka kwenye social media sio cardinal sin.
Dereva wa Heche alipofariki nani alitoka popote pengine kutoa rambi rambi. Public mood ipo tofauti siku hizi hilo ufahamu. Akina Steve na Ali walikuwa wapi kutoa rambi rambi wakati wa misiba ya oct 29.Public mood ipi? Kuwa public haitaki mfiwa apewe pole? Hili ni tatizo lingine la Chadema. Kinapoteza nguvu nyingi kwenye mambo yasio na msingi kama Mbowe kuhudhuria dhifa ya kitaifa, kwenda Kizimkazi kutoa pole na hii ya Lema.
Mbowe! Salum Mwalimu, Kigaila Benson! my footChadema bado inahitaji wanasiasa wakongwe na kinabidi kukubali kuwa sio wote watakuwa na mtazamo sawa na uongozi.
No kuna principles universal zinatumiwa na Banks na makampuni makubwa na Mashirika. Mwezi wa 6 kuna abiria alilalamikia Shirika moja kubwa la ndege, COO aliingilia kati within an hour ili kulinda tasiwra ya shirika.Kukubali hizo tofauti ndio kutakipa nguvu. Bahati mbaya naona Chadema wako busy kufuata mifano ya CCM. Kwa vile CCM ilimtimua Ndugai nao wanataka kutimua watu wao.
Itakuwa ni makosa sana kuhukumu watu kwa ''association''.Aachiwe afanye huo uamuzi mwenyewe. Na sitashangaa kama baada ya kuachia ngazi kelele za kuwaondoa Sugu na Boni hazitapamba moto. Na wao wakiondoka, atafuata Mnyika, ili mradi watu wote walioonekana wana sympathy na Mbowe watasafishwa. Chadema cannot afford kuwapoteza. Wakiingia katika huo mtego, watakuwa wamempa ushindi CCM.
Amandla...
Uchaguzi wa nchi siyo kama mnachagua rais wa chuo nduguHuko kote watu wana mapenzi na Chama sio hao individuals. Nafikiri tulishatoka kwenye zama za kutukuza majina baada ya ule uchaguz uliomtoa Mbowe madarakani.
Na afanye yote hayo ili iweje? Mara nyingi instigator huwa ni Hilda.I mean anaweza kutokea mtu akabishana na Hilda akidhani ni mwenzake kumbe ni CCM. Mfano, mtu akijificha kwa ID na kusema yeye ni Team Mbowe na kwamba kuna abcd dhidi yao na Hilda kumjibu huoni hapo ni mtafaruku wa CCM Vs CHADEMA lakini kwa picha ya CHADEMA Vs CHADEMA
Kwa nini wasishadadie uchunguzi dhidi ya hasimu wao? Nia yao itakuwa kuonyesha unafik wa CDM. Katika hali iliyokuwepo CDM ndio wanatakiwa kuwa wao ni wasafi kuliko CCM. Kukataa kufanya uchunguzi wa aina yeyote ni uthibitisho kuwa wakishika dola watafanya yale yale wanayoyakemea.Haiingii akilini kwamba CCM wanaweza kuona ufisadi wa CHADEMA wakati wote wamekaguliwa na CAG!
Haiingii akilini CCM inapozuia chunguzi za ufisadi katika Taasisi za Umma wakati wakishaididia ya CHADEMA
Ondoa kibanzi kwenye jicho lako.....
Lema anaandamwa kwa sababu ya kabila lake na uliokuwa ukaribu wake na Mbowe. Ni wazi pia kuwa kuna watu ndani ya chama chake ambao wanakuza kila tofauti atakayoionyesha.Of course ndiyo maana ninasema agenda za CCM wanazipata kutoka CHADEMA na wana haki ya kuzitumia . Siasa ni timing tu! hapa ndipo Lema anaingia kwamba kila likizuka jambo la chini chini yeye anahusika ! ni kwa interest gani za chama chao!
Na wakafanya hivyo kwa kuwaambia wakina Lucas wamfanyie campaign za waziwazi! Walifanya hivyo kwa sababu walijua wanachama wa Chadema watafuata ushauri wa mtu ambae hajawahi kujificha kuwa yeye ni CCM! Wangemtaka kweli, wangekaa kimya kwa sababu wangejua kuwa kwa kumfanyia kampeni ya wazi wanampotezea imani ya watu wa CDM. CCM walimtaka mtu mwenye ego ambae ataingia kichwa kichwa kwenye mtego watakaomtegea. CCM hawakutaka Chadema iingie kwenye uchaguzi na walijua kuwa Mbowe angeweza kuingia kwenye uchaguzi na hivyo kuharibu mpango wao.CCM walimtaka Mbowe kwasababu wanasema ''anazungumzika, ni understanding, polite na humble''
Na viongozi wa Chadema waliweza kurudi kutoka exile. Watu wake waliokuwa wanakabiliwa na kesi kibao ( mauaji n.k.)wakaachiwa. Aidha, mikutano ya hadhara ikaruhusiwa na Chadema wakapata nafasi ya kuongeza wanachama na kuonyesha nguvu yao kwa kujaza viwanja. Vyote hivi hauvioni?Mwisho wake ulikuwa nini! CCM wali buy time kisha wakaondoka. Kupoteza muda ni silaha ya CCM ndio maana hawaaminiki kwa Wananchi.
Mbowe alisababisha vipi Oktoba 29? Huo unyenyekevu wa Mbowe ni upi? Mbowe aliitisha maandamano mara nyingi pamoja na kuweko kwa zuio. Hao mnaowaona mashujaa walijificha. Chadema ya Mbowe ilikuwa kila siku inapambana na CCM waziwazi. Wakina Ruge wamekaa sana mahabusu. Sugu alifungwa. Mbowe, Heche na wengine nao walifungwa. Niambie hao ngangari wamefanya nini zaidi ya kuwa na presa na kushinda kwenye social media!Mbowe in hind sight ndiye alisababisha Oct 29 kwasababu kwa unyenyekevu wake usio na busara Wananchi walipoteza matumaini, walijawa na hasira wakijua ulaghai aliotendewa na CCM.
Kwa nini? Mbona Mbowe alipata? Mbona Maalim alipata? Kutegemea ushindi wa 100% ni ndoto ya Ali Nacha.Ilikuwa mbaya sana, huwezi kuzungumza na wahuni wa CCM ukitarajia mafanikio. Ni uhunui tu hata mwenezi Pole pole alisema.
Imekuwa prooved vipi kuwa sio kweli? Ni nani kaikanusha?It was not necessary, hoja yake ikatumika Mahakamani bila sababu. Ni utetezi wa kipuuzi sana
In other words alikuwa anaonyesha rift kati yake na Heche, trying to expose him. Kwasababu kulikuwa na fukuto tayari watu wakatafsiri anamchomesha. Sasa imekuwa proved kwamba si kweli, kwahiyo nia yake hata kama ilikuwa nzuri tayari imekuwa mbaya! hii ilikuwa political blunder !
Paranoia tu na fitna. Unajuaje kuwa hakuchangia? Au ulitaka mpaka aonekane amebeba jeneza ndio ujue alichangia?Lema hakufanya chochote hata kusaidia msiba. Ndio maana watu wanaunganisha na la passport na kumuona alikuwa na nia mbaya
Ulisema kuwa CCM hawakujihusisha katika msiba wa dereva wa Heche. Esther aliwakilisha CCM kwenye msiba.Hivi Esther yupo CHADEMA bado! sikujua
Kwa hiyo ndani ya CDM hamna uhuru wa mawazo? Hili mnalolivalia njuga ni ishu ya kijamii na sio siasa. Kutoa pole pale mbaya wako anapofiwa ni ishara ya uungwana na uthibitisho kuwa wewe ni bora kuliko wabaya wako.Nilisema mahali kwamba kauli za Tundu Lissu hazikuwa sawa wamweleze. Lema alitakiwa asishadidie kwasababu alikuwa na uwezo wa kuwasiliana na Heche au Kamati kuu. Hizi habari za kuanika laundry barabarani ni za kipuuzi sana. He should have know this! Watu walimshukia kwa bandiko lake halafu anapambana bila kujali hisia.
Lissu alimsemea ovyo Kigogo wakati yuko juu. Lema ana haki ya kuwasema hao "keyboard warriors" ambao wamejitokeza baada ya Lema na wenzake kukifikisha chama kilipo kwa gharama kubwa.Jana katukana 'keyboard warriors' etc yaani anaongela profusely disregarding the consequences
Esther Matiko na viongozi kadhaa wa CCM walihudhuria msiba.Dereva wa Heche alipofariki nani alitoka popote pengine kutoa rambi rambi.
Kipimo cha utu ni wakina Steve? Kazi mnayo.Public mood ipo tofauti siku hizi hilo ufahamu. Akina Steve na Ali walikuwa wapi kutoa rambi rambi wakati wa misiba ya oct 29.
Nionyeshe kauli moja tu ya kufariji waliokufa na waliopotea.
Sawa. Kwa hiyo unachotaka ni wanasiasa wapulizie moto CHUKI hiyo? Na nini yatakuwa matokeo ya kuipilizia moto?My point is, the atmosphere siyo unayoijua. Iwe right au wrong lazima uangalie kwanini kuna CHUKI kubwa kiasi hiki katika jamii, si kwa CHADEMA tu na wengine ikiwemo CCM. Mwiba hutoka ulipoingilia
Huyo huyo Mbowe ambae ameifikisha Chadema hapa mnapojivunia. Na ni Mbowe peke yake ndie anayeweza kuponya hii self inflicted injury.Mbowe! my foot
Zipi hizo? Seriously unataka kutuaminisha kuwa Lissu alipotoa pole akiwa rumande kumeharibu taswira ya Chadema?!!!No kuna principles ambazo ni universal zinatumiwa na Banks na makampuni makubwa na Mashirika. Mwezi wa 6 kuna abiria alilalamikia Shirika moja kubwa la ndege, COO aliingilia kati within an hour ili kulinda tasiwra ya shirika.
Huo ni uamuzi wake. Lakini hii witchhunting inayo endekezwa na Chadema haina mwisho mzuri.Mimi sisemi afukuzwe, nasema kwamba Lema hana public trust na amepoteza credibility pia. Jambo jema ni ku RESIGN abaki mwanachama. Muda utaeleza na anaweza kurejea tena, lakini kwasasa ili kulinda mpasuko zaidi ni vema aka resign, hana opition
Itakuwa ni makosa sana kuhukumu watu kwa ''associations''.
Chawa wa ChademaWewe ni chawa wa nani hapo chadema?
Mfumo ni nini?Lema ni mfumo toka kitambo sema watu wanakaza fuvu tu ipo siku mtaelewa tu ngoja tuendelee na drama zake✔️
Kwani haiwezekani?Mbona Heche anamiliki vitu vingi tofauti na uhalisia wa kazi yake?
Umetoa ufafanuzi mzuri kuhusu chokochoko zinazoanzishwa nje ya chama na kupenyezwa ndani kwa kutumia watu ambao sasa inajulikana bila ya shaka yoyote kwamba hawa wakala hawana kificho tena.Wanaotoa maoni ya usaliti siyo CHADEMA ni mahasimu wao wanaotumia fursa zinazotengenezwa na CHADEMA
CHADEMA unaweza kuona wanajibishana lakini ukweli ni kwamba wapo CHADEMA wanaojibishana na CCM
Issue ya Tone tone ilishikiwa Bango hadi akina Mwashamba na wenzake kuliko CHADEMA wenyewe
Issue ya Passport imeshikiwa bango hadi na mawakili kuliko CHADEMA wenyewe
Unajua lengo ni Heche tu waweze kupata 'puppet'' ili kupiga picha na kupoteza muda kama walivyomtenda Mbowe. Jiulize kwanini CCM wanachukizwa na kinachoitwa ''Ufisadi'' ndani ya CHADEMA kuliko eneo jingine lolote
Tatizo la CHADEMA ni haya ya kusema hovyo bila kujali madhara yake. Mfano, tone tone Lema alitajwa sana na hakuwahi kutoka kukanusha au kufafanua. CCM wakaidaka na kuitumia fursa!
Juzi Lema anaulizwa passport yake ana insinuate ya Heche na usalama wa Taifa! kulikuwa na ulazima gani na sasa imebainika si kweli, je amesaidia vipi Chama chake. CCM na Mawakili wanaitumia dhidi ya Makamu na Lissu
Kuhusu rambi rambi, Lema ana uhuru wa maoni. Hata hivyo lazima aangalie nyakati. Mfano, alipofariki dereva wa Heche katika mazingira tata, Lema alikuwa wapi kuandika bandiko la faraja kwa Familia na Chama chake!
Ni wapi CCM walitoa salam za rambi rambi kwa tukio hilo!
Na kubwa ni la kuunganisha kauli za Mwenyekiti na rambi rambi. Lema alipaswa kuelewa nyakati na atmosphere iliyopo. Angeweza kwenda kutoa pole zake bila kuleta sintofahamu.
Ni lazima atenganisha personal affairs na public affairs na aweze kusoma public mood.
Kwa hili, Lema ameshiriki kuvuruga Chama chake. Zama za wanasiasa wakongwe anapaswa akae pembeni. Tuchukulie mfano wa Marehemu Ndugai! CCM walimuondoa ili kuokoa taswira ya chama chao
Sidhani kama Lema ana vote of confidence katika Kamati kuu na public in general
Kama ana good will na Chama chake, it's time to resign abaki mwanachama.
JokaKuu Kalamu
Ni katika hili tu pekee, na siyo hayo mengine uliyoendelea kueleza juu ya Lema ninakubaliana na wewe.Lema kuwa karibu na labda kuwa kabila moja na Freeman Mbowe au labda wote kutoka kijiji kimoja isiwe sababu ya kushambuliwa kwake,
Unajitwisha mzigo mzito sana usioweza kuubeba kumtetea mtu ambaye anatafuta wigo wa kuvuruga chama.Niko Tayari kusahihishwa.
Huamini taarifa ya CAG! Lakini kama ni uchunguzi si kwa matakwa ya CCM, waachwe waamue wenyeweKukataa kufanya uchunguzi wa aina yeyote ni uthibitisho kuwa wakishika dola watafanya yale yale wanayoyakemea.
Nope! mara ya kwanza kazua tone tone watu wakakaa kimya, akazua passport wakakaa kimya! hili la rambi rambi ambalo ana haki aliyoitumia vibaya likitumbua jipu! Lema lipendwa sana na Wanachama lakini trend ya kauli zake ikiwemo kutusi wachangiaji imetibua wengi. Lema has written in his own chapter of Political demise!Lema anaandamwa kwa sababu ya kabila lake na uliokuwa ukaribu wake na Mbowe.
Naweza kusema no! hili amelikuza mwenyewe kwa kutumia mitandao na kupambana na wenye forum zaoNi wazi pia kuwa kuna watu ndani ya chama chake ambao wanakuza kila tofauti atakayoionyesha.
Usijitoe ufahamu! moja ya mambo yaliyowaudhi CCM ni CHADEMA kutoshiriki. Jaribio la CHAUMMA lilikuwa kuziba ombwe baada ya promotion ya ACT Wazalendo kuonekana ngumu sana Tanganyika!Na wakafanya hivyo kwa kuwaambia wakina Lucas wamfanyie campaign za waziwazi! Walifanya hivyo kwa sababu walijua wanachama wa Chadema watafuata ushauri wa mtu ambae hajawahi kujificha kuwa yeye ni CCM! Wangemtaka kweli, wangekaa kimya kwa sababu wangejua kuwa kwa kumfanyia kampeni ya wazi wanampotezea imani ya watu wa CDM. CCM walimtaka mtu mwenye ego ambae ataingia kichwa kichwa kwenye mtego watakaomtegea. CCM hawakutaka Chadema iingie kwenye uchaguzi na walijua kuwa Mbowe angeweza kuingia kwenye uchaguzi na hivyo kuharibu mpango wao.
Mikutano ya hadhara ni haki! hivi mtu akunyang'anye shati halafu akurudishie umshukuru! that's stupidmikutano ya hadhara ikaruhusiwa na Chadema wakapata nafasi ya kuongeza wanachama na kuonyesha nguvu yao kwa kujaza viwanja. Vyote hivi hauvioni?
Unajua kwanini yalibuma! kwasababu alipoteza public support na integrity baada ya mazungumzoMbowe aliitisha maandamano mara nyingi pamoja na kuweko kwa zuio.
Wakashindwa uchaguzi !Chadema ya Mbowe ilikuwa kila siku inapambana na CCM waziwazi.
Hakuna wakati Esther alitoa salam za CCM. The fact kwamba ni mtu wa Tarime na Mbunge alikwenda kama mtu binafsi si mtu wa CCM.Ulisema kuwa CCM hawakujihusisha katika msiba wa dereva wa Heche. Esther aliwakilisha CCM kwenye msiba.
Lema ana haki lakini haki yake si haki ya Chama. Alitaka ku influence wenzake wakati wao wana msimamo tofautiKwa hiyo ndani ya CDM hamna uhuru wa mawazo? Hili mnalolivalia njuga ni ishu ya kijamii na sio siasa. Kutoa pole pale mbaya wako anapofiwa ni ishara ya uungwana na uthibitisho kuwa wewe ni bora kuliko wabaya wako.
Kwenda kama mwana CCM na kwenda kama mwakilishi ni vitu viwili tofauti. Hakuna salam za CCM zilizotolewaEsther Matiko na viongozi kadhaa wa CCM walihudhuria msiba.
Kutokwenda msibani kwa fulani kunakuwaje kupulizia chuki. Ni wajibu kama Taifa tujiulize hizi CHUKI zimetoka wapi na zimesababishwa na nini. Kwenda kuhani hakuondoi chuki, kinachotakiwa ni kuchunguza CHUKI ni za niniKwa hiyo unachotaka ni wanasiasa wapulizie moto CHUKI hiyo? Na nini yatakuwa matokeo ya kuipilizia moto?
Na Kigaila na Salum Mwalimu! ha ha ha ha . Mbowe will never regain his lost status! yeye aendelee tu na unyenyekevu.Na ni Mbowe peke yake ndie anayeweza kuponya hii self inflicted injury.
CCM walichangiwa Bilioni 78 kwa usiku mmoja!Mbowe alichangiwa milioni 300 ndani ya siku mbili. Wababe wamechukua miezi kuchanga milioni 300 na uchee.
Wakionesha kujali utu wa hao waovu kwa hali ilivyo sasa lazima wataonekana kwamba wamelamba asali.Tatizo la wanaharakati wanajifanya sana wao ni watakatifu! Hivi mtu muovu akifiwa, akipewa pole kuna shida gani?
Yaani Lissu au Lema kutoa pole kwa muuaji ni tatizo?
Hivi siku upinzani wakichukua madaraka wanataka kutuaminisha kuwa watakuwa hawahudhurii kwenye misiba ya wapinzani wao?
Njia pekee ya kuondoa uovu si kuukoleza uovu zaidi!
Muovu atendewe kwa huruma ili aoneshwe utofauti!
Mange Kimambi, Maria Sarungi, Hilda Newton na wanaharakati wengine wajifunze kufanya siasa zenye kujali utu hata wa wale wanaowadhulu haki zao!
Nchi ni ya wote, waovu na wao "wasiokuwa" waovu!
It's that simple!. Watu wanashindwa kuunganisha dots!Ukiona vibaka kama Yericko Nyerere Steve Nyerere , Ali Hapi wanamsifia mtu jua sio mwenzenu tena.
Na ukiona agenda fulani katoa mtu wanaibeba na kuiunga mkono jua huyo mtu mmempoteza kwenye kambi yenu.
Miongoni mwa walioagizwa kupeleka rambi rambi na Mwenyekiti na Lema alikuwemo?,maana nilimsikia Mwenyekiti akisema kwamba aliwaagiza watu wake wafikishe rambirambiSidhani kama ni hivyo labda kama Hilda ni CCM.
Na hapa ndipo CDM inapokosea. Zinapotoka shutuma zozote za ufisadi (bila kujai zimetoka wapi) ni busara kuzi address. Kusema itakuwaje CCM wajali "ufisadi" ndani ya Chadema kuliko Chadema inawafanya watu waanze kuamini kuwa ufisadi ni tatizo tu pale unapofanywa na CCM. Ufisadi ukifanywa na upande pendwa ndani ya Chadema unafungiwa macho. Hiyo inawaondolea haki ya kuwanyooshea vidole wanachama wa CCM zinapotokea tuhuma kama hizo.
CCM kama mpinzani wa Chadema wana haki ya kutumia kila mbinu kukipunguza nguvu. Ndio maana wengine tuliwastukia walipoanza kumfanyia kampeni za waziwazi Mbowe. Ni lazima walijua kuwa kufanya hivyo kutawafanya watu wampigie kura mshindani wake. Na ndicho kilichotokea. Mimi sikubaliani na watu kusema kuwa mazungumzo ya kuelekea kwenye maridhiano chini ya Mbowe hayakufanikiwa. On the balance of things, Chadema walikuwa katika nafasi nzuri baada ya kuingia kwenye hayo mazungumzo kuliko ilivyokuwa kabla.
Nakubaliana na wewe kwenye hili.
Kilicho wazi ni kuwa ndani ya Chadema kuna tatizo. Lema hakuulizwa kuhusu passport yake kwa nia njema. Nadhani aliingiza ya Heche kuonyesha kuwa yeye kupata passport haikuwa ushahidi wa usaliti wake.
Sijui kwa nini hakufanya hivyo. Lakini Esther Matiko alishiriki kwenye matanga na nadhani alitoa salamu za pole kutoka chama chake.
Hapo mnamuonea Lema. Mwenyekiti alisema kwa sauti kuwa rambi rambi zake zipelekwe. Kwa vile Chadema haijaja na tamko kusema kuwa hakukusudia zitumwe salamu hizo kwa Mwenyekiti wa CCM basi inaonyesha kuwa alitaka kweli zifikishwe. Lema kuziweka kwenye social media sio cardinal sin.
Public mood ipi? Kuwa public haitaki mfiwa apewe pole? Hili ni tatizo lingine la Chadema. Kinapoteza nguvu nyingi kwenye mambo yasio na msingi kama Mbowe kuhudhuria dhifa ya kitaifa, kwenda Kizimkazi kutoa pole na hii ya Lema.
Chama chake kiliisha vurugwa kitambo. Na wahasimu wao wanatumia paranoia ya Chadema kuwachezea wanavyotaka. Chadema bado inahitaji wanasiasa wakongwe na kinabidi kukubali kuwa sio wote watakuwa na mtazamo sawa na uongozi. Kukubali hizo tofauti ndio kutakipa nguvu. Bahati mbaya naona Chadema wako busy kufuata mifano ya CCM. Kwa vile CCM ilimtimua Ndugai nao wanataka kutimua watu wao.
Aachiwe afanye huo uamuzi mwenyewe. Na sitashangaa kama baada ya kuachia ngazi kelele za kuwaondoa Sugu na Boni hazitapamba moto. Na wao wakiondoka, atafuata Mnyika, ili mradi watu wote walioonekana wana sympathy na Mbowe watasafishwa. Chadema cannot afford kuwapoteza. Wakiingia katika huo mtego, watakuwa wamempa ushindi CCM.
Amandla...
CCM wanapitia changamoto nyingi sana kwa kipindi hiki, mthalani, wizi wa wazi wa kura na kujipachika madarakani, mauaji ya Octoba 29, 2025, kashfa mbaya za utekaji na mauaji, ripoti chafu iliyotolewa na CAG dhidi ya serikali yake, kesi za uongo dhidi ya wapinzani, msururu wa vifo vyenye kufanana tokea Ndugai mpaka Lukuvi, upendeleo wa vyeo kifamilia na eneo la JMT, n.k.Inawezekana kuna makosa katika kauli zake, hakuna asiyekosea, lakini wanaompinga wameenda mbali zaidi kuliko uhalisia
Lema kuwa karibu na labda kuwa kabila moja na Freeman Mbowe au labda wote kutoka kijiji kimoja isiwe sababu ya kushambuliwa kwake, tuko wengi tuliokuwa karibu na Mbowe nikiwemo mimi na wengine wengi mpaka Tundu Lissu, sasa kwa jambo hilo sidhani kama tunazuiliwa kutoa maoni
Wakosoaji wa Lema ni kama walisubiri akosee ili wamshambulie, kwamba walikuwa na madukuduku yao wakisubiri upenyo, hizo ni siasa za kishamba ambazo hazikubaliki, si kila mchaga lazima apigwe vita, siasa za ukabila ndani ya chadema hazikubaliki.
Kingine ni hiki, Lema hana uwezo wa kushawishi jambo kubwa ndani ya chama hata kama ni mjumbe wa kamati kuu, kwahiyo wenye mashaka naye ondoeni, hii kwa sababu hakuna lolote litafanyika kwa ushawishi wake.
Ifahamike kwamba mimi ni miongoni mwa wale wasiotaka maridhiano na Shetani, hilo kila mmoja wenu analifahamu, sasa kwa andiko hili isitafsiriwe kwamba naunga mkono jambo hilo
Niko Tayari kusahihishwa.
WABHILLAH TAWFIQ
Chadema haijashika dola ndio maana haiwezi kufanya hivyo. Lijualikali alisimama ndani ya Bunge na kutoa shutuma nzito dhidi ya Chadema na Mbowe na Takukuru ikaagizwa kuchunguza. Sio kitu kigeni na Chadema hawapaswi kushangaa.Huamini taarifa ya CAG! Lakini kama ni uchunguzi si kwa matakwa ya CCM, waachwe waamue wenyewe
Hivi CHADEMA wanaweza kuwaambia CCM walichangiwa na mafisadi uchunguzi ufanyike na ukafanyika!
Kazua wapi tone tone na passport? Tone tone ni watu ndio waliosema kuwa yeye na Sugu wakiwa kwenye Kikao cha Kamati Kuu Kigoma walihoji kuhusu pesa alizopewa Heche kama mchango wa Tone Tone akaziweka kwenye akaunti yake binafsi. Wajibu wa kukana haukuwa wa Lema bali wa Katibu Mkuu. Katibu Mkuu majibu yake kuwa Heche hahusiki na akaunti ya chama yaliacha maswali kuliko majibu. Heche hakushutumiwa kuchukua pesa zilizokuwa kwenye akaunti ya Chadema bali kuweka pesa zilizopaswa kuwekwa kwenye akaunti ya Chadema kwenye akaunti yake. Hakujibu tuhuma kama ambavyo nanyi hamjibu.Nope! mara ya kwanza kazua tone tone watu wakakaa kimya, akazua passport wakakaa kimya! hili la rambi rambi ambalo ana haki aliyoitumia vibaya likitumbua jipu! Lema lipendwa sana na Wanachama lakini trend ya kauli zake ikiwemo kutusi wachangiaji imetibua wengi. Lema has written in his own chapter of Political demise!
Ulitaka akae kimya wakati anazushiwa uongo na viongozi wake wakiangalia tu? Katibu Mkuu angesema aliyosema jana kuhusu shutuma kuwa Lema, Sugu, Boni na Mbowe walikutana na Kikwete mapema wala yasingefika hapa ambapo salamu za rambi rambi zimekuwa nongwa.Naweza kusema no! hili amelikuza mwenyewe kwa kutumia mitandao na kupambana na wenye forum zao
Hiyo ni tafsiri yako. CCM hawakutaka Chadema washiriki kwa sababu walijua kuwa ingekuwa vigumu kuchakachua kura kiasi ambacho walifanya. Na ingebidi kufanya mchezo mchafu wa wazi kuengua wagombea wake. Walioenda Chaumma walifanya hivyo kwa sababu waliamini kwa dhati kuwa kususa sio jawabu. Waliona yaliyowapata CUF Zanzibar baada ya kuwasusia CCM. ACT-WAZALENDO wana maeneo yao bara ( Kusini, Kigoma n.k.) kwa hiyo hawakuhitaji promotion ya CCM. Na walijua watapata tu wabunge Zanzibar.Usijitoe ufahamu! moja ya mambo yaliyowaudhi CCM ni CHADEMA kutoshiriki. Jaribio la CHAUMMA lilikuwa kuziba ombwe baada ya promotion ya ACT Wazalendo kuonekana ngumu sana Tanganyika!
Mbowe aliwafaa vipi? Kwa kuifanya Chadema kuwa chama kikuu cha upinzani? Aliwafaa kwa kuwapa nafasi watu kama Lissu, Mnyika, Heche, Halima, Zitto na wengine wengi ambao kwa wakati wao wamekuwa mwiba kwa CCM. Niambie Lissu ameinua na kuwajenga wangapi?Hadi leo CCM walimtaka sana Mbowe! na wanamkubali iwe kwenye hafla au misiba. Mbowe aliwafaa sana.
Hakuna aliye washukuru kwa kuwaruhusu wakina Lissu kurudi nchini na kufanya siasa kwa usalama. Hakuna aliyewashukuru kwa kufuta kesi za uonevu. Hivyo hivyo hakuna aliyewashukuru kuhusu mikutano ya hadhara. Ninachosema ni kuwa ni weledi wa Mbowe na wenzie ndio walio lazimisha yote hayo yatokee.Mikutano ya hadhara ni haki! hivi mtu akunyang'anye shati halafu akurudishie umshukuru! that's stupid
Yalifeli kwa sababu ya uoga wa watanzania. Sio kwa kukosa imani yao.Unajua kwanini yalibuma! kwasababu alipoteza public support na integrity baada ya mazungumzo
UongoMbowe alifeli wakati wa JK kwa kunywa Juice Ikulu
UongoAkafeli wakati wa JPM kwa kwenda na ndege Mwanza
Wakina Lissu kurudi, kuruhusiwa mikutano ya hadhara, wanachama na mashabiki kufutiwa kesi n.k. sio chochote. Familia za waliokuwa wanakabiliwa na kesi za mauaji hawawezi kusema kufutiwa hizo kesi ni kitu kidogo.Akafeli wakati wa SSH kwa makubaliano ya miaka 2 bila kupata chochote.
Mbona mnamlaumu Mbowe anapohudhuria dhifa kama mtu binafsi. Mnasema kuwa anakidhalilisha chama chake. Mbunge hawezi kwenda katika shughuli kama ile kama mtu binafsi. Alienda kama mbunge wa CCM. Na viongozi wengine wa CCM walikuwepo.Wakashindwa uchaguzi !
Hakuna wakati Esther alitoa salam za CCM. The fact kwamba ni mtu wa Tarime na Mbunge alikwenda kama mtu binafsi si mtu wa CCM.
Kauli zipi hizo? Hakuna mahali Lema amewazungumzia watu wengine. Ni wabaya wake ndio wanaowaingiza watu wengine. Hata ya Heche alifanya hivyo kuthibitisha tu kuwa sio peke yake mwenye passport.Lema ana haki lakini haki yake si haki ya Chama. Alitaka ku influence wenzake wakati wao wana msimamo tofauti
Sioni tatizo kutoa pole kwa Lema as an individual ! Kumbuka with great power comes great responsibilities.
Kauli zake zina uzito! lakini pia alikuwa na kauli zilizotangulia zilizoashiria kuwa compromized
Kushiriki tu kunatosha. Kila mmoja anajua yeye ni CCM na bila shaka alipata baraka za chama chake kuhudhuria.Kwenda kama mwana CCM na kwenda kama mwakilishi ni vitu viwili tofauti. Hakuna salam za CCM zilizotolewa
Mwiba unatoka ulipoingilia , sioni kwanini wanalalamika ikiwa wao hawawezi kutenda wema
Kukataa kutoa pole ni kuchochea chuki. Hakuna mtu aliyewataka Chadema waende Kizimkazi. Hata Lema hakuenda. Mapovu yote haya ni ya pole ya kwenye social media!Kutokwenda msibani kwa fulani kunakuwaje kupulizia chuki. Ni wajibu kama Taifa tujiulize hizi CHUKI zimetoka wapi na zimesababishwa na nini. Kwenda kuhani hakuondoi chuki, kinachotakiwa ni kuchunguza CHUKI ni za nini
In your dreams. Mbowe ana watu wengi tu wanaomuamini. Na hiyo status unayosema aliipoteza, aliijenga mwenyewe. Na uwezo wa kuijenga tena ( kama ameipoteza) anao. Na ndio maana CCM wanamuogopa kuliko Lissu. Wanajua uwezo wake.Na Kigaila na Salum Mwalimu! ha ha ha ha . Mbowe will never regain his lost status! yeye aendelee tu na unyenyekevu.
CCM walichangiwa wakiwa chama cha upinzani ambacho viongozi wake wako jela? Chadema ingekuwa imeshika dola nayo ingechangiwa mabilioni. Hapa tunalinganisha Chadema chini ya Mbowe na Lissu. CCM haihusiki.CCM walichangiwa Bilioni 78 kwa usiku mmoja!