Kuhusu huyu beki tatu wangu, uvumilivu utanishinda

Beki tatu ni jina la kumshusha hadhi huyo binti. Jina halisi anapaswa Aitwe msaidizi wa mke wako.


Akiwa msaidizi na mke wako akakubali umletee msaidizi wa kazi zote za nyumbani hii haipingwi unaweza kumfanyia matumizi yote ya nyumbani ili mradi tu mmekubaliana pasina kutumia nguvu.

Kwa kifupi mdada wa kazi ni msadizi wa mke wako uko sahihi mkuu binafisi nakuunga mkono.

Jambo hili nilishalisema kwa wife kuwa tukileta mdada wa kazi muhimu asaidie majukumu yote.

NB:Hudhuria vikao mkuu
 
Daladala moja ya mwanza imeandikwa hivi:unachokitafuta kwa mchepuko wenzio wanakipata kwa mkeo
 

Nyuzi kama hizi pasipo na picha ni kama kusikiliza simulizi za vita ya majimaji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…