Kuhusu huyu beki tatu wangu, uvumilivu utanishinda

Mi ningekuwa mwanaume nahisi utelezi ndo ungeniingiza motoni.
Ningewaweka sana.

Sasa nifatishe na wenzangu humu ule huo mzigo. Utajuta sana na itakuwa point of no return.
Upo sahihi, hata hivyo anguka kubwa la mwanaume lipo kwenye tamaa yake juu ya mwanamke, it's our major downfall.
Ila kumuweka msaidizi wa ndani is worse!
 
Bora kuijenga kesho yangu
 
Meanaume akishashiba chakula lazma afanye digestion ya upwiru. Sasa ikitokea mke anakuwa hajielewi ataanza kumnyima nyima mumewe na kutoa mbunye kwa mgao. Hapo ndio mwanzo wa tatizo la michepuko linapoanza. Wote siku ya kiapo huwa wanaapa kutochepuka ila mazingira hayo yanatengenezwa na wake.
 
Huwezi kumtamani beki tatu kama mda wote kichupa kipo empty. Maana zikijaa unavuta wife unachakata akili inakaa sawa.
 
Jichungie heshima mkubwa.
 
safi✅ unawakilisha vyema chama la wana
 
Upo sahihi, hata hivyo anguka kubwa la mwanaume lipo kwenye tamaa yake juu ya mwanamke, it's our major downfall.
Ila kumuweka msaidizi wa ndani is worse!
It's not worth it kwa kweli.

Why wa ndani?

I think this would hurt worse.
 
Katika ubora wako! Ndani kwangu marufuku house help!😁
 
Tamaa tu zinakusumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…