kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Wakuu habari za asubuhi?
Hivi karibuni nilishare huu uzi hapa.
www.jamiiforums.com
So kilipita kipindi flani cha mpito jamaa akawa anaendelea kunitafuta huku ananipa mikwara mingi sana mara ataniua na blah blah zingine nyingi.baadae akaja akaacha mwenyewe kunitafuta,ila juzi siku kadhaa kabla ya Christmas jamaa akanitumia clip flani walikua kwenye kikao cha usuhulishi,mwanamke analia anaomba msamaha,anakiri mimi ndiye nilimshawishi kuingia kwenye hayo mahusiano, na anakiri tushakulana zaidi ya mara hata 10.lengo la kunitumia hiyo clip ni mimi nilikua nambishia kuwa sijawahi kumla mkewe,she was just a good friend of mine.jamaa ndo akaamua kuniambia fala mwenzako keshakuchoma kama hujui kaka.
So jana nikiwa sina hili wala lile nikaona number mpya inanipigia kupokea nikasikia sauti ya kike inalia nikagundua ni mke wa yule jamaa,akaniambia asee mambo yamekua magumu jamaa kakataa suluhu ya aina yoyote na amefile kesi ya talaka mahakamani kwa kifupi hamtaki tena.
Ananiambia mimi ndiye wa kumsitiri ktk kipindi hiki kigumu,nilivyomsoma ni kama anataka sijui nimuoe au aendelee kuwa mchepuko sielewi.
Ila pia nikahisi ni tego labda wananichezea mchezo waniweke mtu kati wanidhuru.
Me nimemjibu tu nitakucheck baadae tuongee vizuri.
Sasa usiku wa jana jamaa nae kanitumia ujumbe mreefu lkn point ni kuwa anasema nimemharibia maisha yake kwa kuiharibu familia yake.anasisitiza huyo mwanamke kaniachia nihakikishe namuoa nisimuache atangetange.
So wakuu huu msala nausolve vipi hapa?
NB:naomba michango positive tu, utoto siuhitaji kwenye huu uzi please.
Hivi karibuni nilishare huu uzi hapa.
Najuta sana kuharibu ndoa ya huyu jamaa. Nitumie mbinu gani kumuomba msamaha?
Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu. Issue yangu iko hivi. Kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart, so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale...