Kuhusu ile ndoa ya yule jamaa niliyoiharibu,mambo yamezidi kunikalia kooni.

Eeeh
 
Kwa kweli nyakati hizi moja ya mambo ya hatari yanayoweza kukuharibia maisha yako ni kuoa au kuolewa......

Unaweza mwenyewe ukawa umejituliza zako mambo yako yanakuwendea vizuri...ukaona ngoja nimtafute mwenza ili niukamilishe ubinadamu....laahaula.....unajiletea majanga naajuto maishani mwako.......

Nawafahamu mabinti na vijana wengi wa kiume wakiharibikiwa maisha yao baada ya kufanya maamuzi hayo...na wachache sana wanaoishi kwa furaha baada ya kufanya maamuzi hayo.......

Hali si shwari kwani moyo wa mtu ni kiza kinene na watu hubadilika muda wowote usioutegemea.......

Inaniwia vigumu sana kuwashauri vijana kuoa kwani ni jambo jema lakini linaweza kumuweka kijana kwenye wakati mgumu kwenye maisha yake......
 
Na huyo jamaa usiombe akutane na mimi, ntamuuzia PANGA LILILONOLEWA TAYARI, kwa bei cheee kabisa!...
 
achana tuu na mke wa mtu nikitongozaga mwanamke akisema "I have a boyfriend "
na ng'oa nanga sababu ni moja sitaki kuwa sababu ya mwanaume mwenzangu kukosa furaha iyo ni (MANHOOD)

Jamaa kakuachia tunza chombo kivutie kama kilivyokuwa kinakuvutia. Kuna yule mzee wa kichaga yeye aliwakuta ugoni kabisa akaongoza na sala ya kukemea ilo shetani alafu akamwachia kijana mama aitunze.
 
Beba huo msalaba ni wakwako umeyataka mwenyewe usitake huruma yetu mke umepata pa

Mnaosema et kuoa bikra Kwan hao bikra wanakaa nazo milele kwenye ndoa haziguswi eeh Tena wakishaelewa ndo wanatafuta kujaribu kwengine
 
"Kama una mke mpeleke kwa jamaa nayeye ameshakuachia wakwake kwa hio ngoma droo labda atakusamehe.?
 
Huyo jamaa sasa anapofika uwezekano upo akaja kujidhuru au kukudhuru.

Tafuta namna asiweze kukupata kwa njia yoyote iwe simu au barua.

Mshauri na huyo mwanamke wako aachane na kuomba msamaha kwanza, atoe nafasi kwa muda kutibu majeraha.
 
“Mzigo mzito mpe Mnyamwezi”
Weka namba za Manzi hapa nikupokee mzigo
 
Ni simple mwambie huyo mwanamke kuwa mlikosea na sasa hutaki tena uhusiano nae na mblock namba zake zote
 
Napata wakati mgumu kukushauri kulingana na kisa chako.... kwani malengo yako yalikuwa yapi wakati unakula mke wa mtu???? Pili; jamaa anapata wapi mda wa kukutisha na kutafuta suluhu kwa mwanamke aliyemsaliti??? Ni wazi jamaa ni dhaifu na hawezi kukufanya chochote na zaidi ya apo pia hawezi kumwacha huyo mwanamke! Kingine huyo mwanamke si mtu na hana msimamo hivyo uamuzi ni wako ktk huu msala!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…