Kuhusu Katiba Mpya tumeshakwama tujikite kujenga ofisi ya Makao Makuu

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Kwa hali inavyoenda katiba mpya hatuwezi kuipata kirahisi labda tukomae kama wakenya walivyokomaa.

Tujikite kujenga ofisi ya makao makuu.

Tunazo rasilimali nyingi na michango ya kidigital imemiminika. Aibu sana kuwa kwenye ofisi kama hii tuliyonayo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 hebu jamani tuacheni kejeli, Yani uandishi huu sijui unamaanisha au unakejeli👍, upinzani wetu ndo huu, tujitahidi kuujenga najua Wana mapungufu yao mengi kama walivyo watawala lkni tupende tusipende hawa jamaa wametufungua macho kwA mambo mengi Sana huko nyuma
 
Kama pale mtaa wakijani mmekwama ni jukumu lenu, kujikwamua sasa, unakuja hapa tukusaidieje.?
 
KATIBA MPYA ITADAIWA MPAKA IPATIKANE NA OFISI ZITAJENGWA SAMBAMBA au na Wewe Wesha kutoa UBONGO
 
Katiba mpya INAKUJA hakuna wa kuzuia, ilisha kua
 
Katiba Mpya ipi? Katiba si ilishapatikana tunasubiri tu kupiga kura.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Wewe mataga huu mziki haukuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…