Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

Tatizo kubwa ni mienendo yake (conduct) na pia tuhuma kwamba amelima urafiki na hao alokuwa nao karibu.

Hivyo kuna vitu viwili vya msingi hapo conduct na cultivation of friends ambapo hiyo the former (cultivation) ni kulazimisha urafiki kwa kutumia njia yoyote ile ili kushawishi kuhusu mambo yako yaende. Pia kutumia uwezo ulo nao kusaidia mambo fulani yaende iwe harakati za kisiasa au kampeni fulani.

Usisahau au kama hufahamu huyu jamaa aliwahi kufungwa jela miaka 3! kwa makosa ya kutakatisha fedha.

Sasa leo hii uonekane uko na huyu au na yule au mara wapora zabuni nyeti lazima utapangiwa ratiba ya kuonana na Israili, kinongojewa ni muda sahihi.

Wamwona Dangote, ana tuhuma yoyote? Hana kwasababu huyu bwana alipoanza biashara akiwa mdogo alitumia fedha za mkopo kama dola 30,000 kutoka kwa baba yake mdogo na baada ya pale akarudisha mkopo huo ndani ya miezi mitatu!. Baada ya pale biashara zake zikainuka na akafanya akabadili (diversification) kwenda biashara zingine.

Sasa hivi Dangote yupo njiani kuachia ngazi na watoto wake mabinti Fatima, Halima na Mariya (ambao wamesoma uzuri tu) wataongoza kampuni.

Hivyo kwa Afrika Dangote ni modern businessman ambae aeleweka.

Lakini si tu kumwona mtu haeleweki lakini ana pesa na anakuwa ni mtu wa sarakasi nyingi.
Kwanza kuonana na Marais tangu lini ikawa vibaya au jambo jipya? Dangote mwenyewe anazurula na Marais Kila Nchi na hamsemi.Rostam nae hivyo hivyo nk

So Kwa Tajiri ni kawaida hata Bill Gates tulikuwa tunamuona hivyo.
 
Huyu dogo Wicknell Mukuru Wemazuva amesaidia sana kuwaexpose marais wa Ukanda huu wa Sadc wote ni wapiga madili ila mlikuwa hamumjui dalali mkuu ni nani.
Umezungumza mengi sana ya muhimu kuhusu huyu mtu kwa kutumia picha tu
Kwanza kuonana na Marais tangu lini ikawa vibaya au jambo jipya? Dangote mwenyewe anazurula na Marais Kila Nchi na hamsemi.Rostam nae hivyo hivyo nk

So Kwa Tajiri ni kawaida hata Bill Gates tulikuwa tunamuona hivyo.
Kuna watu kama huyu hapa wasioweza kutumia akili zao sawasawa wanaochukulia mambo juu juu tu; mradi wanapate shibe zao za kila siku.

Huyo "dogo" kumbe alikuwa ni zaidi ya alivyoonekana kwa mizahamizaha yake.
 
Back
Top Bottom