Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

Wazungu kule Marekani wanasema kwamba Black American Vijana wakiwa na Pesa wanakufa mapema au wanafungwa wakiwa Vijana

Ktk Africa napo tunaona tatizo hilo hilo weusi wenzetu wanateketea zaidi ukiona kimyaaa pengine kipesa kayumba Kafa kafungwa!!!!

Mtaani chunguza kijana Mweusi akiwa na pesa za kutosha
Mtaa mzima
unakuwa wamoto!!!!
 
Mweusi akiwa Mpole ujue Pesa
hana!!!

Mpe pesa ndio utajua Mawimbi yake!!!
Nadhani kujiamini kukubwa ndio kikwazo

Anafanya chochote kwake Sheria sio kikwazo Sheria inajua yeye nani !!!!!!
 
whats your point? chivayo alikuwa "dogo" ? alikuwa >40 ...

Sasa miaka 40 ni mkubwa !!!!
manake kazaliwa 1980+!!! Uyo ni mkubwa kwako.

Unajua Mzee Mufuruki kafarik akiwa na miaka
mingapi ????
Tena alikuwa anaumwa
Africa kusini !!!
 
Kijumla Viongozi wa Cristian wanashindwa kulea Watoto ktk ngazi za utajiri

Wakiona Kijana kawa Tajiri kwao wanamgeuza
ni chumo !!

sio kumpa miongozo ya namna ya kupambana na psychologically
Pesa zisiweze kumbadilisha kimatendo kinidhani
kimuonekano!!!
 
Tajiri wa kislam yule pale Dangote !!!

you will never notice him for the way he dresses because he has strong Religious beliefs and he won't let the money control and consume his mind!!!

unlike rich Christians who even think themselves are more superior than their Religious leaders and even jesus christ!!!!!!
Katika Dunia ya leo kuamini kwamba mtu fulani ni mkristo au muislamu khasa hao wenye utajiri wa kutupwa itakubidi ufanye utafiti wa hali ya juu.

Si mkritso au muislamu wote wana mambo mengine nyuma ya mafanikio yao ambayo weye na mimi hatuyafahamu.

Bila hivyo utakuwa na imani haba sana na bora uwache mambo yalivyo.

Hivyo ajenda yako ya wakristo au uislamu ni mufilisi endapo huna wigo mpana wa uelewa kuhusu watu hao unowataja.
 
Jamaa karudisha na chenchi zote watoto na mke ndani huko kwa ziraili na tip ya mapilot wawili ndani🙌👋
 
ila wa hizi comment za watu humu leo dah 🙌🙌🙌🙌😅😅😅😅 nafkiri angepewa dk 1 alafu afumbe tena macho asingeamini ni kwa jinsi gani watu walikuwa na chuki naye kali kiasi hichi. ila ni licho jifunza tujifunze kutenda mema na kuyaishi mema kabla ya wakati hata uwe na ukwasi kiasi gani ila mwisho wetu sote ni mmoja tu.
 
ila wa hizi comment za watu humu leo dah 🙌🙌🙌🙌😅😅😅😅 nafkiri angepewa dk 1 alafu afumbe tena macho asingeamini ni kwa jinsi gani watu walikuwa na chuki naye kali kiasi hichi. ila ni licho jifunza tujifunze kutenda mema na kuyaishi mema kabla ya wakati hata uwe na ukwasi kiasi gani ila mwisho wetu sote ni mmoja tu.
Tatizo kubwa ni mienendo yake (conduct) na pia tuhuma kwamba amelima urafiki na hao alokuwa nao karibu.

Hivyo kuna vitu viwili vya msingi hapo conduct na cultivation of friends ambapo hiyo the former (cultivation) ni kulazimisha urafiki kwa kutumia njia yoyote ile ili kushawishi kuhusu mambo yako yaende. Pia kutumia uwezo ulo nao kusaidia mambo fulani yaende iwe harakati za kisiasa au kampeni fulani.

Usisahau au kama hufahamu huyu jamaa aliwahi kufungwa jela miaka 3! kwa makosa ya kutakatisha fedha.

Sasa leo hii uonekane uko na huyu au na yule au mara wapora zabuni nyeti lazima utapangiwa ratiba ya kuonana na Israili, kinongojewa ni muda sahihi.

Wamwona Dangote, ana tuhuma yoyote? Hana kwasababu huyu bwana alipoanza biashara akiwa mdogo alitumia fedha za mkopo kama dola 30,000 kutoka kwa baba yake mdogo na baada ya pale akarudisha mkopo huo ndani ya miezi mitatu!. Baada ya pale biashara zake zikainuka na akafanya akabadili (diversification) kwenda biashara zingine.

Sasa hivi Dangote yupo njiani kuachia ngazi na watoto wake mabinti Fatima, Halima na Mariya (ambao wamesoma uzuri tu) wataongoza kampuni.

Hivyo kwa Afrika Dangote ni modern businessman ambae aeleweka.

Lakini si tu kumwona mtu haeleweki lakini ana pesa na anakuwa ni mtu wa sarakasi nyingi.
 
Mweusi akiwa Mpole ujue Pesa
hana!!!

Mpe pesa ndio utajua Mawimbi yake!!!
Nadhani kujiamini kukubwa ndio kikwazo

Anafanya chochote kwake Sheria sio kikwazo Sheria inajua yeye nani !!!!!!
Pia hapo ungeweka pesa/madaraka bado statement Yako hiyo ingeendelea kuleta maana!
😀
 
Back
Top Bottom