Abdul.Ana hotel Ngorongoro, sasa itakuwa ya nani

Hasira siyo nzuri mkuu,😛 Mi Aleluyaaaaa kiakili ni wapoteaji
Sio mm ni kitabu chao wanachokiamini
Kondoo waliopotea 😀
Mtu mwenye kupotea hawezi kuwa na Akili sawasawa
Sasa jiulize
Kifo kipo Zimbabwe mfanyabiashara wa Zimbabwe
kaonana na Marais kibao lkn
Nyumbu wanazani Rais wetu kapata pigo
Kivipi twaambieni kivipi kuna Project yoyote itaenda kwama kwa kufa uyo kibonge!!!
Edda inaunganishwaMwanamama aliyefiwa na mchepuko wake ajiandae kufiwa na mtoto wake mpenzi wa kiume. Hatungoji amalize 40
Jamaa alikuwa na hela hata angetumiaje zisingeisha leo wala kesho labda azichome moto.Tafuta pesa, tumia uhai ungalipo!
RUTO AMEKUA MWANAMKE TANGU LINI? EMBU TUELEZEKwahiyo na Ruto nae ataingia eda kwani vichwa vyenu vimejaa funza
Alafu still ni kijana mdogo sana kanipita miaka sita.Jamaa alikuwa na hela hata angetumiaje zisingeisha leo wala kesho labda azichome moto.
Mbona mauti ni nature ya viumbe hai vyoteMshahara wa dhambi ni mauti
Basi hayaMbona mauti ni nature ya viumbe hai vyote
Wale wajuzi karibuni kudadavua
View: https://www.instagram.com/reel/Dd7PDTCjMJP/?stkn=MXBwZzl0cGFtaGRvdw==
=====
Mfanyabiashara maarufu nchini Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mkewe Lucy “Lulu” Muteke, wamefariki dunia baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria kuanguka katika eneo la Marondera Rural, mashariki mwa jiji la Harare.
Ajali hiyo imetokea Jumatano jioni majira ya saa 11:00, huku Polisi wa Zimbabwe (ZRP) wakithibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuanza uchunguzi kubaini chanzo chake.
Taarifa za awali kutoka kwa polisi zilisema helikopta hiyo ilikuwa imebeba watu sita, kabla ya msemaji wa Serikali, Nick Mangwana, kuthibitisha baadaye kuwa watu saba walikuwa ndani ya helikopta hiyo, wakiwemo Chivayo, abiria wengine wanne pamoja na marubani wawili.
Mangwana amesema hakukuwa na manusura katika ajali hiyo. Mamlaka nchini Zimbabwe bado zinaendelea na uchunguzi ili kubaini chanzo cha ajali hiyo, huku taarifa zaidi zikitarajiwa kutolewa kadri uchunguzi utakavyoendelea.
View: https://www.instagram.com/p/Dd8On1Njuam/?img_index=1&stkn=MWs3ZDJ2c2lkZW84MA==
Zile project za kibonge kukaa ikulu km yupo guest fulani amemaliza kumgonga mtu zitaenda kukwama
waliopotea !!! Biblia inawajua kuliko sisi wengine 😀
This guy has implicated so many figures, that's why he had to depart with his whole family!!
They are going to inherit everything not his wife nor his kids.
Wale wajuzi karibuni kudadavua
View: https://www.instagram.com/reel/Dd7PDTCjMJP/?stkn=MXBwZzl0cGFtaGRvdw==
=====
Mfanyabiashara maarufu nchini Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mkewe Lucy “Lulu” Muteke, wamefariki dunia baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria kuanguka katika eneo la Marondera Rural, mashariki mwa jiji la Harare.
Ajali hiyo imetokea Jumatano jioni majira ya saa 11:00, huku Polisi wa Zimbabwe (ZRP) wakithibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuanza uchunguzi kubaini chanzo chake.
Taarifa za awali kutoka kwa polisi zilisema helikopta hiyo ilikuwa imebeba watu sita, kabla ya msemaji wa Serikali, Nick Mangwana, kuthibitisha baadaye kuwa watu saba walikuwa ndani ya helikopta hiyo, wakiwemo Chivayo, abiria wengine wanne pamoja na marubani wawili.
Mangwana amesema hakukuwa na manusura katika ajali hiyo. Mamlaka nchini Zimbabwe bado zinaendelea na uchunguzi ili kubaini chanzo cha ajali hiyo, huku taarifa zaidi zikitarajiwa kutolewa kadri uchunguzi utakavyoendelea.
View: https://www.instagram.com/p/Dd8On1Njuam/?img_index=1&stkn=MWs3ZDJ2c2lkZW84MA==
POLE SANA KWA MSIBA MKUU