Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

Huyu jamaa anafanya biashara gani, mana ukiangalia utajiri wake na thamani ya dola ya Zimbabwe ni kama vile maji na mafuta
Huo ni mfumo au Cartel, kwa mfano jiulize nchi kama Iran imeweza vipi kusurvive miaka yote na vikwazo vya kiuchumi?

Kunakuwa na kampuni geresha zinafanyabiashara kwa niaba kwa njia za magendo.

Sasa huyu Chivayo Mukuru Wemazuma ni Cartel ya Rais mnangagwa, Mnangagwa hakai front bonge ndio front Man mtu wa kuchezesha, kwa kifupi Mungu ameisaidia kidogo Zimbabwe kama ni Mungu kweli ndio amemtwaa maana mpaka sasa mimi naamini huyu ametolewa sadaka ya damu hsikutakiwa ng'ombe wala watu baki bloodline yake ndio ilikuwa inatakiwa asiache hata mrithi, hicho ndicho ninachoamini mpaka sasa.
 
Nimeshaona huo mchezo likitokea jambo tu linatengezewa na vitweet au za insta za uongo na ukweli.

Yule Xavery sijui naye kafa maana simuoni siku hizi yeye huwa hakosekani sehemu.
Pia kuna wale wanajiita manabii, likitokea janga wanawahi studio kutengeneza clip kuinyesha kuwa aliwahi jutabiri hilo janga. Halafu wana share. Watu waliingizwa sana mkenge, kila tukiwaambia hawakuelewi, wanaona una wivu
 
Huyu jamaa anafanya biashara gani, mana ukiangalia utajiri wake na thamani ya dola ya Zimbabwe ni kama vile maji na mafuta
Wengi hawakujua ni kwamba jamaa alikua mjanja akikua na kampuni au makampuni ambayo/ambazo zina JV na kampuni kubwa za China..so watu walikua wanashanga tu,anawezaje kua karibu na Maraisi wa nchi zetu hizi? Nyuma yake kulikua backup kubwa sana.Apumzike kwa Amani
 
😛 Mi Aleluyaaaaa kiakili ni wapoteaji

Sio mm ni kitabu chao wanachokiamini

Kondoo waliopotea 😀

Mtu mwenye kupotea hawezi kuwa na Akili sawasawa

Sasa jiulize
Kifo kipo Zimbabwe mfanyabiashara wa Zimbabwe

kaonana na Marais kibao lkn
Nyumbu wanazani Rais wetu kapata pigo

Kivipi twaambieni kivipi kuna Project yoyote itaenda kwama kwa kufa uyo kibonge!!!
 
Wengi hawakujua ni kwamba jamaa alikua mjanja akikua na kampuni au makampuni ambayo/ambazo zina JV na kampuni kubwa za China..so watu walikua wanashanga tu,anawezaje kua karibu na Maraisi wa nchi zetu hizi? Nyuma yake kulikua backup kubwa sana.Apumzike kwa Amani
Huyu hata kupumzika kwa amani asipumzike, akahangaike huko atakapofika
 
Pia kuna wale wanajiita manabii, likitokea janga wanawahi studio kutengeneza clip kuinyesha kuwa aliwahi jutabiri hilo janga. Halafu wana share. Watu waliingizwa sana mkenge, kila tukiwaambia hawakuelewi, wanaona una wivu
Hata Paschal Mayalla ana tabia hiyo, anajifanya kutabiri, halafu baadae likitokea jambo anaedit post ili iendane na utabiri wake.

Cc: secretarybird
 
Back
Top Bottom