Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

Chuki zenu dhidi ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Sasa mmekuwa kama Vibonzo kiakili

Mwenyewe mnamwambea kifo
Utadhani nyinyi mtaishi milele

Tunajua genge lenu lipo chini ya Viongozi wa Kanisa

Ndio wenye akili wajue Kanisani kwasasa wenye akili kina Askofu Pengo tumewazika

Kwasasa kuna Genge la wapumbavu
Baada kushindwa project yao ya Samia must go Aleluyaaaaa
Kwasasa wapo kama wameweuka
Kiakili

Ujui wanapigania nini kwasasa hata wanadhidi kupoteza sifa kamkem zilizo jengwa kwa miaka mingi

Angalia Sasa wanavyoumbuka
Vijana wa ki Aleluyaaaaa
Nini msingi wa kushangilia kifo cha Chivayo!

Wamekuwa wa ovyo kuliko wale Mashekh ubwabwa!!

Akili zao zimefikia kushangilia vifo vya Wageni wa Viongozi wetu!!
Bado wanajiona ni Watanzania sijui wenye uchungu !!!

SERIKALI kuendelea kuwachekea watu wa aina hiii ni kosa kubwa uko mbele watakuja kuleta Maafa makubwa ya Kidini!!!

Mfano mwengine tangu tumepata uhuru Bandari ya yetu kwasasa inafanya vizuri kwenye ufanisi wa ali ya juu sana
Tumeipita Bandari ya Mombasa kwa mbali

Lkn unasikia kundi la Majambazi wanataka kufungua kesi kupinga Mkataba wa DP World

Unajiuliza lengo lao kuu ni nini
Kama sio wizi na Ujambazi wa pale Bandarini

Wanapinga nini
Uko nyuma pale Bandari palikuwa pa ovyo leo tumepiga hatua
Lkn wanapinga Mahakamani

Taifa letu kuna wadudu wamejimilikisha miaka mingi limekuwa ni kitegauchumi chao

Kwaiyo maendeleo yatakujaje ndugu Watanzania ¿¿¿¿¿¿

Kama vyanzo vya mapato kuna wahuni wamejimilikisha kinyume cha Sheria

Ukiwaondosha wanaleta Udini Udini kupandikiza Udini!!

Serikali mwendelee kutoa makucha yenu

Kuwadhibiti
Ikibidi baadhi kuwafutia
Uraia tu

mana matendo yao
Sio rafiki kwa Ustawi wa Tanzania yenye Ushindani wa kimaendeleo na majirani zake,,
 
Utanzania wao hauna faida kwa Tanzania yenyewe Dawa

Mijitu ya aina hii ni hasara kitaifa
Uwepo wao unakwaza maendeleo ya Taifa letu pendwa!!!!

Kauli zao tu nikama wamejivua Utanzania wao!!!!
 
Hata angefariki kwa njia nyingine ingeibuka post nyingine iliyowai kusema atafariki hivyo.

Ni ubashiri tu ambao unakuaga mwingi ila badae tunaishiaga kuona uliofanikiwa
Huu ni utabiri wa multiple choice.

Ni kama Paschal Mayalla, anatabiri mambo mengi tofauti tofauti kuhusu jambo moja, halafu likitokea mojawapo anasema ni voices from within.

Nimeshamfuatilia sana huyo mzee ni janja janja sana.

Cc: secretarybird Nyani Ngabu Kiranga Lamomy Tlaatlaah binti kiziwi
 
Huu ni utabiri wa multiple choice.

Ni kama Paschal Mayalla, anatabiri mambo mengi kuhusu jambo moja, halafu likitokea moja wapo anasema ni voices from within.

Nimeshamfuatilia sana huyo mzee ni janja janja sana.

Cc: secretarybird
Naam, wengi sana wanafanya hivi. Mana hata hapo kwenye io post unaona kuna tabiri mbili. Kama angepata heart attack basi watu wangeruka na io nyingine
 
Yule mwezao mmoja kajificha Kenya
Mwisho kaona chungu ya kukaa mbali ya Taifa lake

Kaomba Msamaha na kurejea kwao kuendelea kulima kutunza Familia

Sasa yumkin kuna kundi lingine limeshiba na Utanzania
Limelewa Utanzania
Wanatakiwa wafikishwe sehemu kujiuliza bado wanastahili kujiona wao ni Wazawa kweli!!!!
 
Back
Top Bottom