Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
😂😂Hongera saana kwa msiba mkuu
😂😂Hongera saana kwa msiba mkuu
Biashara za kuuza silaa kama Lowassa na Lugumi. Wana pesa maana hiso hazina konakona ya kukopwa wala kukopesha, unataka silaa unaweka mzigo unaweletwa mali zako.Huyu jamaa anafanya biashara gani, mana ukiangalia utajiri wake na thamani ya dola ya Zimbabwe ni kama vile maji na mafuta
Vi tweet vya kipumbavu hivo, mwingine alijitokeza baada ya Kobe Bryant kufariki na mwanae akadaibalitabiri kitambo, mungu pekee ndio muwezaNimeshaona huo mchezo likitokea jambo tu linatengezewa na vitweet au za insta za uongo na ukweli.
Yule Xavery sijui naye kafa maana simuoni siku hizi yeye huwa hakosekani sehemu.
Bado,Abdul, Saa100,JK,Rosta,Rizi
Ruto sio mwanamkeKwahiyo na Ruto nae ataingia eda kwani vichwa vyenu vimejaa funza
kah! Nyie watu hamuogopi?Ninakubaliana na kauli hii! Huyo kijana asicheleweshwe unganisheni hapo na Riziwani, JK, Mjane,CDF & IGP
Kuna kakikundi kidogo, kinatesa wananchi sana ,kinajiita CCMkah! Nyie watu hamuogopi?
Mbona kama hofu imekujaa? Punguza hofu.Chuki zenu dhidi ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Sasa mmekuwa kama Vibonzo kiakili
Mwenyewe mnamwambea kifo
Utadhani nyinyi mtaishi milele
Tunajua genge lenu lipo chini ya Viongozi wa Kanisa
Ndio wenye akili wajue Kanisani kwasasa wenye akili kina Askofu Pengo tumewazika
Kwasasa kuna Genge la wapumbavu
Baada kushindwa project yao ya Samia must go Aleluyaaaaa
Kwasasa wapo kama wameweuka
Kiakili
Ujui wanapigania nini kwasasa hata wanadhidi kupoteza sifa kamkem zilizo jengwa kwa miaka mingi
Angalia Sasa wanavyoumbuka
Vijana wa ki Aleluyaaaaa
Nini msingi wa kushangilia kifo cha Chivayo!
Wamekuwa wa ovyo kuliko wale Mashekh ubwabwa!!
Akili zao zimefikia kushangilia vifo vya Wageni wa Viongozi wetu!!
Bado wanajiona ni Watanzania sijui wenye uchungu !!!
SERIKALI kuendelea kuwachekea watu wa aina hiii ni kosa kubwa uko mbele watakuja kuleta Maafa makubwa ya Kidini!!!
Mfano mwengine tangu tumepata uhuru Bandari ya yetu kwasasa inafanya vizuri kwenye ufanisi wa ali ya juu sana
Tumeipita Bandari ya Mombasa kwa mbali
Lkn unasikia kundi la Majambazi wanataka kufungua kesi kupinga Mkataba wa DP World
Unajiuliza lengo lao kuu ni nini
Kama sio wizi na Ujambazi wa pale Bandarini
Wanapinga nini
Uko nyuma pale Bandari palikuwa pa ovyo leo tumepiga hatua
Lkn wanapinga Mahakamani
Taifa letu kuna wadudu wamejimilikisha miaka mingi limekuwa ni kitegauchumi chao
Kwaiyo maendeleo yatakujaje ndugu Watanzania ¿¿¿¿¿¿
Kama vyanzo vya mapato kuna wahuni wamejimilikisha kinyume cha Sheria
Ukiwaondosha wanaleta Udini Udini kupandikiza Udini!!
Serikali mwendelee kutoa makucha yenu
Kuwadhibiti
Ikibidi baadhi kuwafutia
Uraia tu
mana matendo yao
Sio rafiki kwa Ustawi wa Tanzania yenye Ushindani wa kimaendeleo na majirani zake,,
Sio Wakristo hao, ni matapeli tu.Wagalatia msio na akili mshaanza! Mbona huo utabiri hauku_trend before? Wakkristo nani kawaroga?
Umejuaje ni BAVICHA?. Acha watu wa express feelings zao.Angalia michango ya bavicha hapo juu uone nani kaleta siasa msibani
Alijua atakufa na alishatabiriwa na mchungaji wa huko Zimbabwe.Bado hujasema alijuaje
Ndio maana akanunua chopa ya Tsh bilioni 26 na kugawa magari na mapesa hapo mwishoniBado hujasema alijuaje
Ana hotel Ngorongoro, sasa itakuwa ya naniNdio maana akanunua chopa ya Tsh bilioni 26 na kugawa magari na mapesa hapo mwishoni
Aliamua afe na familia yakeNdio maana akanunua chopa ya Tsh bilioni 26 na kugawa magari na mapesa hapo mwishoni
Alikuwa kwenye process za ujenzi.Kwani hana ndugu?Ana hotel Ngorongoro, sasa itakuwa ya nani
Chivayo alivyo mnene hawezi kufichika asitambulike.Mimi nina mashaka sana, huyu mpaka tuone sura ya mwisho na kaburi ndio nitaamini ametolewa kafara la damu
Wewe ubwabwa umekuchanganya akili sana. Watu wanaongea issues za nchi wewe ni udini tu. Kwani ujapewa sinia la ubwabwa?Chuki zenu dhidi ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan