Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

Na akiwa kaburini apigwe risasi ya kichwa ili tujue kweli amekufa, Isije akawa amefake kifo ili akafufukie mbele huko 😂
 

Attachments

  • HTfL8LwXwAAoN6y.png
    HTfL8LwXwAAoN6y.png
    373.7 KB · Views: 8
Chuki zenu dhidi ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Sasa mmekuwa kama Vibonzo kiakili

Mwenyewe mnamwambea kifo
Utadhani nyinyi mtaishi milele

Tunajua genge lenu lipo chini ya Viongozi wa Kanisa

Ndio wenye akili wajue Kanisani kwasasa wenye akili kina Askofu Pengo tumewazika

Kwasasa kuna Genge la wapumbavu
Baada kushindwa project yao ya Samia must go Aleluyaaaaa
Kwasasa wapo kama wameweuka
Kiakili

Ujui wanapigania nini kwasasa hata wanadhidi kupoteza sifa kamkem zilizo jengwa kwa miaka mingi

Angalia Sasa wanavyoumbuka
Vijana wa ki Aleluyaaaaa
Nini msingi wa kushangilia kifo cha Chivayo!

Wamekuwa wa ovyo kuliko wale Mashekh ubwabwa!!

Akili zao zimefikia kushangilia vifo vya Wageni wa Viongozi wetu!!
Bado wanajiona ni Watanzania sijui wenye uchungu !!!

SERIKALI kuendelea kuwachekea watu wa aina hiii ni kosa kubwa uko mbele watakuja kuleta Maafa makubwa ya Kidini!!!

Mfano mwengine tangu tumepata uhuru Bandari ya yetu kwasasa inafanya vizuri kwenye ufanisi wa ali ya juu sana
Tumeipita Bandari ya Mombasa kwa mbali

Lkn unasikia kundi la Majambazi wanataka kufungua kesi kupinga Mkataba wa DP World

Unajiuliza lengo lao kuu ni nini
Kama sio wizi na Ujambazi wa pale Bandarini

Wanapinga nini
Uko nyuma pale Bandari palikuwa pa ovyo leo tumepiga hatua
Lkn wanapinga Mahakamani

Taifa letu kuna wadudu wamejimilikisha miaka mingi limekuwa ni kitegauchumi chao

Kwaiyo maendeleo yatakujaje ndugu Watanzania ¿¿¿¿¿¿

Kama vyanzo vya mapato kuna wahuni wamejimilikisha kinyume cha Sheria

Ukiwaondosha wanaleta Udini Udini kupandikiza Udini!!

Serikali mwendelee kutoa makucha yenu

Kuwadhibiti
Ikibidi baadhi kuwafutia
Uraia tu

mana matendo yao
Sio rafiki kwa Ustawi wa Tanzania yenye Ushindani wa kimaendeleo na majirani zake,,
POLE SANA KWA MSIBA MKUU
 
Back
Top Bottom