Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

Kwanza kuonana na Marais tangu lini ikawa vibaya au jambo jipya? Dangote mwenyewe anazurula na Marais Kila Nchi na hamsemi.Rostam nae hivyo hivyo nk

So Kwa Tajiri ni kawaida hata Bill Gates tulikuwa tunamuona hivyo.
 
Huyu dogo Wicknell Mukuru Wemazuva amesaidia sana kuwaexpose marais wa Ukanda huu wa Sadc wote ni wapiga madili ila mlikuwa hamumjui dalali mkuu ni nani.
Umezungumza mengi sana ya muhimu kuhusu huyu mtu kwa kutumia picha tu
Kwanza kuonana na Marais tangu lini ikawa vibaya au jambo jipya? Dangote mwenyewe anazurula na Marais Kila Nchi na hamsemi.Rostam nae hivyo hivyo nk

So Kwa Tajiri ni kawaida hata Bill Gates tulikuwa tunamuona hivyo.
Kuna watu kama huyu hapa wasioweza kutumia akili zao sawasawa wanaochukulia mambo juu juu tu; mradi wanapate shibe zao za kila siku.

Huyo "dogo" kumbe alikuwa ni zaidi ya alivyoonekana kwa mizahamizaha yake.
 
Ninachokijua ni kuwa: Mali na utajiri vina siri nzito nyuma ya pazia.Any way apumzike kwa amani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…