Umemuelewa Vizuri mleta mada alichoandika?Ongeeni yooooote. tz hakuna beki bora kama Yondani, Ushahidi wote mnao. Huyu jamaa mpira anaujua Mengine ni mapungufu tu kila mtu na yake. Hata Ronaldo ni bora ila anaongoza kujiangusha Dunia nzima.
Kama hujui mafanikio ya Ulimwengu braza unahitaji msaada wa kisaikolojiaUlimwengu na Nidhamu yake ana mafanikio gani??
Ubabe kwa beki unasaidia sana Mcheki mtu kama Ramos
Ana makombe mangapi na Yondani ana mangapi?Kama hujui mafanikio ya Ulimwengu braza unahitaji msaada wa kisaikolojia
Kwa hiyo wewe unapima makombe? Kama kigezo chako ndo hicho basi wewe umechemka bro.Ana makombe mangapi na Yondani ana mangapi?
Raha ya timu makombe.Kwa hiyo wewe unapima makombe? Kama kigezo chako ndo hicho basi wewe umechemka bro.
Unakuwa na makombe halafu unaishia kuwa wa kitaifa,wenzako wanachukuliwa ulaya kukuza soka lao unaponda kisa makombe,basi wewe endelea kulia na makombe wakati wenzio Ulaya wanapiga pesa ndefu.Raha ya timu makombe.
hahaha are you serious? yani unataka kulinganisha kumtemea mate mtu na kujiangusha?? yan unamlinganisha World class player kama ronaldo na vitu gani hivi vinavyotema mate kwa wachezaji wenzieOngeeni yooooote. tz hakuna beki bora kama Yondani, Ushahidi wote mnao. Huyu jamaa mpira anaujua Mengine ni mapungufu tu kila mtu na yake. Hata Ronaldo ni bora ila anaongoza kujiangusha Dunia nzima.
Hata najuta kuwafananisha maana Ronaldo anapigwa miti[emoji12]hahaha are you serious? yani unataka kulinganisha kumtemea mate mtu na kujiangusha?? yan unamlinganisha World class player kama ronaldo na vitu gani hivi vinavyotema mate kwa wachezaji wenzie
ana mpira gani ?! nidhamu ya mtu inaendana na nidhamu ya mpira ..kama huwezi kumheshimu mchezaji wako wa timu unayocheza nayo huna faida kwenye soka unalochezakhata ulaya matendo hayo hutokeo suarezi, costa, balotel wamekuwa na utovu wa nidhamu
Yondani yuko vizuri, alichezewa vibaya mara 2-3 ila akadhibiti hasira zake naona mwisho alishindwa akamtemea mate.
.mie nilijua atamkata na vibao kabisa
Angeitengeneza jana mngemuongezea nini??Ni mpuuzi mno ameiharibu cv yake ya kimichezo
ushahidi mnao au mnalala naye hadi mjue..by the way mnaondoka kwenye mada mnaenda kwa ronaldo...ukweli utabaki pale pale alichofanya kwanza ni upuuzi mkubwa sana na ameonesha dharau ya ain yake kana kwamba amewatemea na TFF mana aalidhani kamera zimelala..nidhamu ya mpira inaongozwa na nidhamu ya mtu binafsi ...kama huwez kujiheshimu na kuwaheshimu binadamu wenzio hata mpira unaocheza hauna faida ..sasa heshima yako unayodai umejijengea eti unaitwa beki bora kumbe ni kondoo aliyevaa ngozi ya chui...na huyu nawahakikishia anafungiwa, ameiaibisha tasnia ya soka nchini, ameiabisha familia yake na amejiaibisha yeye mwenyewe ...ovyo kabisaHata najuta kuwafananisha maana Ronaldo anapigwa miti[emoji12]
kwa taarifa yako tu Ronaldo kwa mshahara anaolipwa wa Bilioni nne za kitanzania kwa mwezi mmoja tu kama angekua na dharau sana hadi kufikia hatua ya kutemea watu mate basi ni haki yake kabisa ila jiulize kwanini hajawahi kufanya huo upumbavu?Hata najuta kuwafananisha maana Ronaldo anapigwa miti[emoji12]
Hapa hatuzungumzii ubora wake tunazungumzia tukio la kumtemea mate Kwasi.Ongeeni yooooote. tz hakuna beki bora kama Yondani, Ushahidi wote mnao. Huyu jamaa mpira anaujua Mengine ni mapungufu tu kila mtu na yake. Hata Ronaldo ni bora ila anaongoza kujiangusha Dunia nzima.