Aisee ungekuwa karibu na Mimi ningekupiga Kofi ili kama kichwani mwako kuna wazo Hilo la kufunga gesi liondoke!
Wewe umesikia wapi Subaru inafungwa mfumo wa gesi? Watanzania mbona mnakosa elimu hata hizi ndogo juu ya magari?
1) CNG ni mfumo wa kishamba Sana hata Huko ulaya hautumiki
2) CNG inatumika kwenye Bajaj Tu
3 CNG ni zaidi ya bomu
Wazungu baada ya kuona CNG ni UJINGA walianzisha magari chotara ( hybrid car) kama umeshindwa kumiliki Subaru tafuta IST itakusaidia .
Mimi Nina Subaru forester XT kama ni ishu ya fuel consumption huku ndiyo balaa lkn najitahidi Sana kufanya kuepuka safari zisizokuwa na tija. Kama huwezi kumiliki Hilo gari uza nunua IST
Nimeichoka tu, ni gari number B na niliisajili au kuingiza mwenyewe. Sasa imagine niko nayo miaka mingapi.Nini kilikufanya ukatoka kwenye hiyo 1770 kwenda kwenye 2000?
Mkuu,Aisee ungekuwa karibu na Mimi ningekupiga Kofi ili kama kichwani mwako kuna wazo Hilo la kufunga gesi liondoke!
Wewe umesikia wapi Subaru inafungwa mfumo wa gesi? Watanzania mbona mnakosa elimu hata hizi ndogo juu ya magari?
1) CNG ni mfumo wa kishamba Sana hata Huko ulaya hautumiki
2) CNG inatumika kwenye Bajaj Tu
3 CNG ni zaidi ya bomu
Wazungu baada ya kuona CNG ni UJINGA walianzisha magari chotara ( hybrid car) kama umeshindwa kumiliki Subaru tafuta IST itakusaidia .
Mimi Nina Subaru forester XT kama ni ishu ya fuel consumption huku ndiyo balaa lkn najitahidi Sana kufanya kuepuka safari zisizokuwa na tija. Kama huwezi kumiliki Hilo gari uza nunua IST
Kufunguka means speed au? Sina mishe za kuhitaji hizo speed Mkuu. By the way naona kama nishapita umri wa hayo ma speed (niko early 40).Subaru unafungaje CNG iyo gari niyakufunguka kama unaona vip uza tafuta gari engine ndogo
Yes mkuu,Subaru nyingi tu zimefungwa. Nyingi sana. So hilo swali ni irrelevant. Ungesema tu hushauri mtu kufunga kwa sababu..... Taja.
Nimekusoma Mkuu, Ahsante sana.Mkuu hongera kwa chuma iyo. CNG tunaibania Forester bwana, maana ukifunga kuna power loss kubwa sana ukiwa kwenye CNG mode, power loss utaiona kwenye kuovertake (sema umesema sio mtu wa highway), kupanda kilima au ukibeba mzigo mkubwa (even watu wanene kuanzia abiria watatu).
Kuna mtu alishawahi sema pia humu issue ya engine wear. Kwasababu Petrol ina additives inayofanya iwe na lubricating properties wakati CNG haina.
Pia kuongeza mtungi wa gesi, kule nyuma ukiwa kwenye petrol mode inamaanisha consumption itakua kubwa zaidi, mfano gesi imeisha, ila sio issue sana vituo vipp vingi hapa Mjini.
Pia angalia issue za ECU, na sensor maana gari ipo tunned kufanya combustion ya petrol leo ikikutana na CNG kuna possibility ya kuzingua.
Ila faida pia zipo mfano lengo kuu kusave mafuta. Ina save sana.
CNG inafungwa kwenye malori wewe unasema ni Bajaji peke yake, ni mtaalamu kutoka wapi?Aisee ungekuwa karibu na Mimi ningekupiga Kofi ili kama kichwani mwako kuna wazo Hilo la kufunga gesi liondoke!
Wewe umesikia wapi Subaru inafungwa mfumo wa gesi? Watanzania mbona mnakosa elimu hata hizi ndogo juu ya magari?
1) CNG ni mfumo wa kishamba Sana hata Huko ulaya hautumiki
2) CNG inatumika kwenye Bajaj Tu
3 CNG ni zaidi ya bomu
Wazungu baada ya kuona CNG ni UJINGA walianzisha magari chotara ( hybrid car) kama umeshindwa kumiliki Subaru tafuta IST itakusaidia .
Mimi Nina Subaru forester XT kama ni ishu ya fuel consumption huku ndiyo balaa lkn najitahidi Sana kufanya kuepuka safari zisizokuwa na tija. Kama huwezi kumiliki Hilo gari uza nunua IST
Ni kweli,CNG inafungwa kwenye malori wewe unasema ni Bajaji peke yake, ni mtaalamu kutoka wapi?
Najua Sana hiyoo hata malori ya dangote wamefungwa ila Mimi nimefanya msisitizo tuCNG inafungwa kwenye malori wewe unasema ni Bajaji peke yake, ni mtaalamu kutoka wapi?
(Mimi sio mtaalam) Kama una mpango wa kutumia hiyo gari zaidi ya miaka 2 ndo utaona faida yake.Yes mkuu,
Technical reasons zitasaidia zaid uelewa.
Wafungaji wenyewe nimewacheki wanasema mfumo hauna shida, but perhaps wako kibiashara zaidi ndo nikaona nichek na wataalam wa humu.
CNG ni mfumo wa gharama kwenye ufungaji wake ndiyo maana manufacturer wa magari hawataki kuingia kwenye gesi kuanzia vituo vya gesi Hadi process zake.Mkuu,
Ahsante Kwa maoni. Nimeona umetaja sababu tatu,
1) Ushamba
2) Kwenye Bajaj tu
3) Bomu.
Niongezee hata technical reason ya huu mfumo kutokua mzuri Mkuu. Inawezekana kuna sababu ya Wazungu kuukataa labda hiyo Gas kwao ni adimu au gharama.
Upo sahihi. Complete kit ya CNG inabidi ije na ECU yake (ambayo haifanyi kazi peke yake bali inasaidiana na ya Petrol), sensors zake.Issues za ECU na Sensor sio kwamba huu mfumo unakua na hizo vitu pia? Au sijaelewa ni vitu gani na applicability zake?