PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Kwa Subaru forester lazima kutakuwa na modifications Fulani lazima zifanyike.Subaru nyingi tu zimefungwa. Nyingi sana. So hilo swali ni irrelevant. Ungesema tu hushauri mtu kufunga kwa sababu..... Taja.
Nimeichoka tu, ni gari number B na niliisajili au kuingiza mwenyewe. Sasa imagine niko nayo miaka mingapi.
Umeshauri vizuri. Akikaa saa 1 -2 hakosi mtu.Tembelea kituo cha kujaza gesi halafu ufanye utafiti wako kutoka kwa watumiaji moja kwa moja hasa ukipata wenye Subaru model ya gari yako. Binafsi mimi naichukia gesi kwa sababu ya ule mtungi kwenye buti. Labda wa design namna nyingine ya kuweka mtungi.
Sure mimi kama mimi sijawahi kua fan wa gesi. Na ata mtu akisema nimshauri ni bora auze gari afu anunue jingine lenye ulaji rafiki.Kwa Subaru forester lazima kutakuwa na modifications Fulani lazima zifanyike.
Hybrid car zimekuja kuovertake magari ya gesi na huitaji kujaza kila inapoisha gesi ....Mimi naona baada ya Miaka kadhaa mbele hakuna MTU atafunga tena gesi kwenye magari kwasababu hybrid ndiyo mfumo rafiki Kwa gari kuliko gesi pia hata hivyo vituo vya kujazia gesi vitakuwa mapambo Tu
Naitaka,unaitoa kwa sh ngapi, !??Nimeichoka tu, ni gari number B na niliisajili au kuingiza mwenyewe. Sasa imagine niko nayo miaka mingapi.
Sure mimi kama mimi sijawahi kua fan wa gesi. Na ata mtu akisema nimshauri ni bora auze gari afu anunue jingine lenye ulaji rafiki.
Kwanini U.S.A wamezuia kwamba wanaepuka cost?CNG ni mfumo wa gharama kwenye ufungaji wake ndiyo maana manufacturer wa magari hawataki kuingia kwenye gesi kuanzia vituo vya gesi Hadi process zake.
USA wamepiga marufuku mfumo wa gesi na itakapofika mwaka 2030 itakuwa mwisho wa mfumo wa gesi.
Process za kuchakata gesi pamoja na ujenzi wa vituo vya gesi Una gharama kuliko vituo vya kawaida vya gasoline.Kwanini U.S.A wamezuia kwamba wanaepuka cost?
Yes mkuu,Gesi inaokoa gharama sana.
Nilishaiuza mkuu last month, na Subaru nishainunua tayar.Naitaka,unaitoa kwa sh ngapi, !??
Nitajaribu hii njia mkuu, kama wenye kituo wakiniruhusu. Maana ni kama ka survey au research flan hiv kako unofficial.Umeshauri vizuri. Akikaa saa 1 -2 hakosi mtu.
Gari nitakaa nalo muda tu. Labda kuanzia miaka 4 hivi panapo majaaliwa ndio nibadilishe.Unategemea kukaa na hilo gari kwa muda gani? Maana pia lazima utazame gharama za installation utakazoingia na unafuu wa gharama za mafuta utaupata lini.
Pia aesthetics za ndani ya gari, zitaathiriwa kiasi gani na hilo limtungi (Hapa kwangu ndo ambapo sikuupenda hilo dude la CNG).
Kama baadhi walivyoshauri ingekuwa vyema uchukue gari yenye utumiaji wa mafuta unaokufaa vinginevyo tafuta watu wenye mfumo kwa forester kama yako ujionee moja kwa moja.
Kwanini wasiwekeze kwenye matumizi na uzalishaji wa EVs zaidi maana ni environmental friendly.Process za kuchakata gesi pamoja na ujenzi wa vituo vya gesi Una gharama kuliko vituo vya kawaida vya gasoline.
Kitu kingine Kwa wenzetu wanapenda magari yenye performance kubwa... hybrid car ndiyo chaguo la dunia nzima kwasababu mfumo wake unatumika mjini na safari ndefu