Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
Asante sanaUnakusanya ushahidi kisha unaenda kitengo cha malalamiko. Wanarudisha tu ila siku 90 zinaweza zidi au pungua
Shukrani sana ndugu kwa mrejeshoNi kweli wanarudisha ndani ya siku hizo 90 na huenda zisifike
Mim niliwahi kukatwa na heslb kimakosa kwakuwa sijawah kupata mkopo wao lakin wakaniingizia makato kwenye salary slip nkafuatilia ndan ya siku hizo 90 wakanirudishia pesa yangu yote
Hii total charge nimepigwa kama 991K.. sijajua inakuaje lazima niwaibukie wanipe maelezonaomba kujua total loan charges ya helsb ni nn maana naona nina kama 1.1 M lakin den langu la ukweli ni 1.4 m ila ukichanganya zte nakua na 2.4 m .
kama ni LAF,VRF NA PENALTY SI WALIFUTA? INAKUAJE WAWEKE.Hii total charge nimepigwa kama 991K.. sijajua inakuaje lazima niwaibukie wanipe maelezo
VRF imefutwa lakini kuna kitu kipya kinaongezwa kwenye deni la msingi wanaita total charges kinaongezwa kwenye deni la msingikama ni LAF,VRF NA PENALTY SI WALIFUTA? INAKUAJE WAWEKE.
Inajumuisha:naomba kujua total loan charges ya helsb ni nn maana naona nina kama 1.1 M lakin den langu la ukweli ni 1.4 m ila ukichanganya zte nakua na 2.4 m .
Binafsi hili lilinikuta...Habari za leo leo washikadau,
Nimesikia kwamba inapotokea ofisi yako imekukata zaidi kwenye mshahara wako kuliko deni lako halisi bodi ya mikopo wanarudisha hela yako ndani ya siku 90.
Hapa naongelea mfano deni lako lote lilikua ni milioni 5 lakini kwa bahati mbaya ofisi yako ikakata miezi mingi zaidi na hivyo jumla ya makato kufikia milioni 8.
Je, kuna ukweli juu ya hili?
Kuna yeyote humu ashawahi kukutana na tatizo hili na kweli akarejeshewa pesa yake yote iliyozidi?
Kama yupo naomba anipe ushuhuda au kama kuna yeyote ana ufahamu juu ya hili tunaomba atujuze taratibu za kupata zikoje
Acha uongo... kwenye hili msemo wako hauswii...!Kiendacho kwa mganga
mbona vrf na penalty wameziondoa? Inakuaje waweke tena? Mkuu.Inajumuisha:
1. Administration fees 1%
2. VRF paid before 1st May
3. Penalty before 1st June 10%
Umesoma vizuri nilichokiandika?mbona vrf na penalty wameziondoa? Inakuaje waweke tena? Mkuu.
Acha uongo... kwenye hili msemo wako hauswii...!
Mimi niliwauliza wakaniambia hizo ndio zimefutwa Ila wewe umeshazilipa kupitia marejesho yako.Uje ujaribu kwenda heslb uwaulze kwanin wanatuchanganya mara VRF before 1 MAY 2021 mara penalty before 1 july yaan wanachanganya sana uwambie watoe ufafanuzi