Kuhusu kurudishiwa hela na HESLB pindi unapokatwa zaidi ya deni lako

Kuhusu kurudishiwa hela na HESLB pindi unapokatwa zaidi ya deni lako

Mimi niliwauliza wakaniambia hizo ndio zimefutwa Ila wewe umeshazilipa kupitia marejesho yako.
Kwahiyo ambao wataanza kulipa deni lao kuanzia June ndio faida kwao maana hawatalipa kabisa

Ila inabidi waziondoshe kabisa maana Mh Raisi alisema
 
Ni kweli wanarudisha ndani ya siku hizo 90 na huenda zisifike
Mim niliwahi kukatwa na heslb kimakosa kwakuwa sijawah kupata mkopo wao lakin wakaniingizia makato kwenye salary slip nkafuatilia ndan ya siku hizo 90 wakanirudishia pesa yangu yote
Hii kitu na mimi imenikuta mwezi huu, wamekata wakati Mimi sijawahi kuchukua mkopo kwao
 
Back
Top Bottom