Hiyo rushwa iliyopatika kwenye dili la sukari ni kubwa na spika naye amepata mgao wakeNaandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT.
Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim.
Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa sasabu bunge ni kibogoyo ndio maana hadi sasa yuko anakula kodi zetu.
Nasubiri kitakachojili kisha nianzishe kampeni ya kutokuwa na IMANI NA SPIKA.
Chukia sheria za bunge usimchukie spika. Spika anasimamia sheria zilizopo zilizotungwa na both upinzania na cmm. Au ulitaka spika azikanyage ili uridhike?Naandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT.
Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim.
Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa sasabu bunge ni kibogoyo ndio maana hadi sasa yuko anakula kodi zetu.
Nasubiri kitakachojili kisha nianzishe kampeni ya kutokuwa na IMANI NA SPIKA.
Sheria ziko wazi lakini zimemwachia spika ajipimie mwenye iwapo amechukizwa ama lah.Chukia sheria za bunge usimchukie spika. Spika anasimamia sheria zilizopo zilizotungwa na both upinzania na cmm. Au ulitaka spika azikanyage ili uridhike?
Ukiwa nyuma ya keybord?Naandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT.
Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim.
Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa sasabu bunge ni kibogoyo ndio maana hadi sasa yuko anakula kodi zetu.
Nasubiri kitakachojili kisha nianzishe kampeni ya kutokuwa na IMANI NA SPIKA.
Kuna mtu amewahi kaniambia Nchi hii Biashara ya Sukari ni kama ile ya madawa ya kulevya Kule Colombia au Mexico..inaendeshwa na Cartels..ukitaka kuingilia anga zao wanaweza kukupoteza..ulivyomtaja Mheshimiwa mzindakaya na Simba ndio memory imenirudia.. nadhan those days Spika wa sasa alikua O-level...kuna ma issues nchi hii ni very historical, someone needs no School Certificate to tell what the hell is going on right now....mnamlaumu Spika bure, kuna nguvu ya pesa ipo nyuma ya Mpina na kwa upande mwingine nyuma ya Bashe hivyo basi msidhani ni suala jepesi kihivo,Sukali Zambia na Malawi imejaa tena kwa bei poa lakini ukikutanana TRA hata na caton moja utatozwa faini mpaka ukome, ukijiuliza wanalinda maslahi ya nani huwezi jua. tusisahau sakata kama hili kati ya mbunge Mzindakaya na Waziri Simba, ni vita ya tembo kuumia nyasi.
Ataenda kwenye bunge la kimataifaNaandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT.
Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim.
Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa sasabu bunge ni kibogoyo ndio maana hadi sasa yuko anakula kodi zetu.
Nasubiri kitakachojili kisha nianzishe kampeni ya kutokuwa na IMANI NA SPIKA.
Kwani wewe hujui kwamba hili ni bunge la CCM? Umesahau jinsi walivyo upata ubungeNaandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT.
Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim.
Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa sasabu bunge ni kibogoyo ndio maana hadi sasa yuko anakula kodi zetu.
Nasubiri kitakachojili kisha nianzishe kampeni ya kutokuwa na IMANI NA SPIKA.
Wewe una demential si bure huyu betina alikosa uhalali tangu suala la bandari alivyojigeuza wakili wa serikali wewe ulikuwa wapi . Unatakiwa mboko za matakoChukia sheria za bunge usimchukie spika. Spika anasimamia sheria zilizopo zilizotungwa na both upinzania na cmm. Au ulitaka spika azikanyage ili uridhike?
Nimeielwa code yk 4......#⚖️4Asimwe#