Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Tatizo siyo spika tatizo ni sisi wenyewe bora afanye hivyo ili mafuvu yafanye kazi, yaani jamii zetu kushindwa kuhoji,(tulio wapa dhamana wataendelea kuahirisha kufikiri kwa nafsi), na tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia hadi limefika kwenye jamii, kila kitu tunategemea serikali hata walikosea Sawa tu tuache kulalamika mfumo tumeupenda wenyewe, someni kuhusu unworking government machineries and ostracism, nawafundisha humu kila siku hamtaki kuzingatiaAkiharibu huku na kule hawawezi mwamini.